sure ni imani potofu za kimila tu hizoNakuambiaje huku nilipo Mimi Bundi kibao hakuna hilo suala sijui la fulani kafa kisa Bundi amelia usiku kucha km ingekua hivyo wote tungekua Marehemu mda huu
Ndege ana pande mbili kisayansi na kirohoNdio nimeshakuambia Bundi ni Ndege tu
Kijiwe chenu cha kumezeshana UONGO kawambie waache kukurisha matangopori, kawaulize kwanini Bundi hawaendi kuweka kambi hospitalini wakalia usiku mzima kila siku?Iko hivi bundi anahisia kali sana kama kuna mzoga karibu.
Hivyo nyumbani kama kuna mgonjwa mahututi tayari bundi kwa hisia zake anakuwa ananote kuwa mzoga unaelekea kupatikana.
Haya niliyasikia kwenye kijiwe cha kahawa
Anamaanisha hujaakuwa kiakiliMimi sio wa 2005 uwe na adabu unaweza ukawa unabishana na Baba yako mzazi
Sasa Mimi nipo upande wa kumuona Ndege hajanidhulu chochote km mnavyolishana nyinyi ujinga eti Bundi kufanyaje wakati kuna watu wanawafuga na wengine hicho ni kitoweo chao kabisa km wewe unavyokula njiwa na wao wanamla Bundi alafu unasema hapa Bundi kufanyaje? Bundi akilia wewe unafanyaje? Unakufa? Mimi nawasikia kila siku kinachokera ni milio yao tu na Bundi halii sehemu moja atalia hapa atahama utasikia kalia upande mwingine kahama tena utasikia kalia upande mwingine, hapo pia utasemaje?Mde
Ndege ana pande mbili kisayansi na kiroho
Na wewe hujakua ki-nini? Unaelewa kinachozungumziwa hapa au umedandia treni kwa mbele?Anamaanisha hujaakuwa kiakili
Kuna namna ipo.Hapa inapoishi kwenye magorofa ya nssf mbona wanalia kila uchwao na hakuna kitu inatokea?
Pia kijijini petu, home jirani kuna limti kubwa mno mibundi kibao inalia usiku na hamna kitu mbaya inaskika.
Nadhani ni hisia tu na Imani za kimila
Yes hii niliispma sehem zamaniana sense seli zinazoanza kufa ndo maaana
Kweli...nilishasoma makala sehemuUONGO
NDOTOO USIDHARAU KABIS... Nimeapa nikiota ndoto inayohusiana na kuchelewa kwenye tukio flani na linahusisha shule nilizosoma aisee hiyo ndoto nikiikumbuka jua kitu kibaya kinatokea kwa sasa imenitokea mara 2 na nimepigia mstari kweli zile ndoto ilikuwa na maono ubaya ndoto mojo ilihusisha mzazi wangu daah inauma sana laiti ningejua hakika nisingedharau.Mimi ni Shuhuda, mwaka 2020 Mwezi April tarehe 19 usiku, nikiwa hapa Europe- Bundi alilia sana juu ya paa langu saa nane usiku (kwa hapa Ulaya hii ni nadra sana na sijui huy Bundi alitokea wapi, hata mke wangu alishangaa na akaanza kusema angels are visiting us), nikatoka nje nikamfukuza na kurudi kulala, baada ya muda , mbweha naye akaanza kulia kama sauti ya mtu... nikasema leo kuna namna. Sijakaa sawa, paka akaanza vile vile... ile kumekucha tu, naambiwa pole sana kwa kufiwa na kaka yako. Na sio hiyo tu, huwa nikiota kwamba niko kwenye sherehe ya kula nyama, ni lazima ndugu yangu wa karibu naye akitoe, sijui huu ni uhusiano wa namna gani. Wiki jana tu nimeota habari za kula nyama na Bundi akalia usiku, asubuhi yake binamu wangu ambaye alikuwa ni bodaboda, akasagwa na bus la JWC hapo Maili Moja Kibaha. Usidharau unachoota ukiwa umelala, wakati mwingine ni messages. Na nina mambo mengi sana ambayo nimeyaona ndotoni na nikayashuhudia, mfano, niliota oia kwamba malika na mashetani yanapigana hapo mtaani wangu, kulipo kucha tu , mchana wa siku hiyo kukatokea zogo kubwa mtaani kwangu na mmoja wa marafiki wangu aliuwawa kwa kuchoma kisu na washikaji zake...
Ninacho taka kusema nini? usiwe pinga pinga kila kitu, maana ktk ulimwengu mwingine haya mambo ni ya kawaida sana na maisha yanaendelea mwili ukiwa hauna uhai kwa mujibu wa huyu bwana Dactari wa upasuaji aliyepigwa radi na akapona- hebu sikiliza ushuhuda wake hapa :
View: https://youtu.be/fCV7ayCLA1A?si=HrjsIt965idR7ab-
Bundi ni Ndege huyo wa kwako wewe wa kiimani ni wa Kamchape Lambalamba na hao mabwana wanaowalisha huo ujinga wameshapigwa marufuku wakionekana tena wanaleta Imani zao za ajabu ajabu kutisha watu na kuwabambika watu masuala ya UONGO UONGO wanaenda kunyea debe Segerea na UkongaI wish niishi umri mrefu zaidi nione tofauti ya vizazi vilivyopita na vya sasa
Kuna wale walioamini sana kwenye ulimwengu wa kiroho na vitu kama kulia kwa bundi au ndoto, zilikuwa na maana kubwa kwao
Na kuna hiki ambacho kinajiona kimestaarabika, kinaamini imani za kale zote ni ujinga mtupu, wale wazee walikuwa wapumbavu kuwa na imani hizo. Nataka nione kitaishije hadi mwisho kwa kutegemea sayansi na teknolojia
UONGO Bundi ni Ndege tuKweli...nilishasoma makala sehemu
Wameweka humu hio makala pitia vizuri utaiona Ila Bundi ni Ndege tu hizo Imani potoofu mnamvalisha nyinyiYes hii niliispma sehem zamani
Wewe nawe MUONGO MUONGO tuUpo sahihi. Nachoamini kuishi na positive mind ni vizuri sana. Lakini umekiri kuhusu nguvu ya maneno. Iwe waliongea kweli au uwongo na kinatokea haina budi kuamini kwenye jambo hilo. Mfano ishu ya laana na mikosi ni vitu ambayo si halisi ni fikirishi lakini mzazi akikutamkia laana huji kuishi vizuri kamwe. Je hio nayo tusiamini? Au nakupa mtihani mmoja tu nenda kamtukane mama yako afu akumwagie radhi tuone nn kitakutokea
UONGO Bundi ni Ndege tu
Huu uelewa niliupata nilipotembela mbuga za wanyama; tuweke utaratibu wa kutembelea hayo maeneo ili kuongeza ujuzi.Kunusa? Si mnasema ana-sense seli zilizokufa akiwa mbali? Msituvishe kamba hapa Bundi ni Ndege hana hayo Mambo yenu ya Imani potoofu Kamchape Lambalamba nyinyi mnakaririshwa ujinga
Uongo mtupuUONGO bundi ni ndege tu hana hayo masuala ya mauzauza ni maruweruwe yako tu yanakusumbua
Na huu ndio ukweli hautaki beba bango andamana
Huku ninapoishi kuna bundi kibao wanalia usiku hakuna hizo Mambo za uchuro
Mde
Ndege ana pande mbili kisayansi na kiroho