mbonji monga
Member
- Mar 23, 2020
- 96
- 192
sawa baba mzazi wa kifikirisha tulia, na fyata mkia::= bundi ana uwezo wa kuhisi seli zinazokufa punde ko tulia hujui lolote ww baab mzazi wa kubuni kwa picha kwa kicha chako zeroZEROMimi sio wa 2005 uwe na adabu unaweza ukawa unabishana na Baba yako mzazi
Bundi hula mizoga na huota uwepo wa mizoga 14 days before mzoga wenyewe haujapatikana.Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua kanalia sana. Cha kushangaza Kanapolia au anamaliza tu bundi naye akawa analia sana hasa mida ya kuanzia saa saba usiku. Hii ni tofauti na siku za nyuma hatukua tukisikia hizo kelele za bilundi na hata baada ya mtoto kufa hatujasikia tena. Hii ni ajabu sana! Binafsi sikuwah kuamini hilo
BABu! Bush😆 Baby what!?!
Bundi anakulaje panya ?Ni UONGO bundi hana hizo Mambo kinachomfanya bundi afuatilie nyumbani kwenu anawinda PANYA sio habari za mtu kufa sijui mzoga kufanya nini hizo ni porojo tu hakuna ukweli wowote
Bundi hufuata mizoga tu na akilia ujue kaota uwepo wa mzoga.Mimi sio wa 2005 uwe na adabu unaweza ukawa unabishana na Baba yako mzazi
Mimi niliambiwa kama hivyo lakini waliingia deep kweny imani.Wanasema ndege huyo huwa ana uwezo wa kuhisi kifo. Habari hizi nilizisikia kwa baadhi ya wazee miaka ya nyuma kidogo nilikuwa kijiji kimoja huko Dodoma ndani ndani.
Kuna watu humu hawaziamini ndoto... Nikiwa nimechaguliwa kwenda Songea Boys, huko nilikuwa sipajui, niliomba tu Mungu anijalie kupajua pakoje, na kabla ya kwenda huko, ndioto ikanionesha mazingira ya huko jinsi yalivyo mwanzo hadi mwisho. Na siku nilipolipoti, ikawa vile vile nilivyoiona kwenuye ndo. Na mwezi 11 mwaka jana, niliota kuhusu kifo cha yule baba mtakatifu na mavazi yake ya mwisho atayo valishwa siku ya kuzikwa kwake- ajabu na kweli, siku ya mazishi ikawa vile vile nilivyoona kwenye ndoto. Hadi sasa, ndoto ninaziogopa sana kwa kweli. Watu wasizipuuzie kwa kweli, ni message toka huko semehu zinapotoka... changamoto ni namna tu ya kuzisoma...NDOTOO USIDHARAU KABIS... Nimeapa nikiota ndoto inayohusiana na kuchelewa kwenye tukio flani na linahusisha shule nilizosoma aisee hiyo ndoto nikiikumbuka jua kitu kibaya kinatokea kwa sasa imenitokea mara 2 na nimepigia mstari kweli zile ndoto ilikuwa na maono ubaya ndoto mojo ilihusisha mzazi wangu daah inauma sana laiti ningejua hakika nisingedharau.
Hayo ni mambo ya kiroho so hujayajua yanavofanya kazi! Bundi sio ndege mzuri at all kwenye maswala ya kiroho.UONGO bundi ni ndege tu hana hayo masuala ya mauzauza ni maruweruwe yako tu yanakusumbua
Na huu ndio ukweli hautaki beba bango andamana
Huku ninapoishi kuna bundi kibao wanalia usiku hakuna hizo Mambo za uchuro
Upo sahihi kabisa hizo ndoto sio za kuzichukulia mchezo..ni ujumbe wa uhalisia katika ulimwengu wa mwili. Ni mambo ya rohoni hayo.Kuna watu humu hawaziamini ndoto... Nikiwa nimechaguliwa kwenda Songea Boys, huko nilikuwa sipajui, niliomba tu Mungu anijalie kupajua pakoje, na kabla ya kwenda huko, ndioto ikanionesha mazingira ya huko jinsi yalivyo mwanzo hadi mwisho. Na siku nilipolipoti, ikawa vile vile nilivyoiona kwenuye ndo. Na mwezi 11 mwaka jana, niliota kuhusu kifo cha yule baba mtakatifu na mavazi yake ya mwisho atayo valishwa siku ya kuzikwa kwake- ajabu na kweli, siku ya mazishi ikawa vile vile nilivyoona kwenye ndoto. Hadi sasa, ndoto ninaziogopa sana kwa kweli. Watu wasizipuuzie kwa kweli, ni message toka huko semehu zinapotoka... changamoto ni namna tu ya kuzisoma...
Nilikua naitaji mayai ya bundi...unanisaidiaje😀Kwangu kuna bundi wanaishi, kutaga na kuzaa kwenye paa langu la banda la nje ubavu na ubavu na nyumbani kwangu, nikichungulia diroishani nawaona, tena wameanza kunizowea, wakiniona iwe usiku au mchana hawanikimbii kabisa., kwa miaka sasa, nadhani wanakwenda kizazi cha sita au saba.
Nnawapenda sana na kuwalinda sana na mapaka. Ni walinzi wazuri sana wa usiku, uwanjani kwangu hakatizi panya wala mjusi wala nyoka, wanaipatapata fresh.
Namshukuru Allah kuniwekea ndege hawa kuwa ni jirani zangu wa karibu kabisa.
Ni ndege wazuri na wanapendeza sana.
Harufu ya cell zilizo kufa ... How?Bundi ana uwezo mkubwa wa kuhisi harufu za sell zinazokufa.....!!
Unavita katika ulimwengu wa roho! Fanya maombi ataondoka mwenyew.Kaka vipi kuhusu pakaa, mimi kwangu kila siku, masaa yote asubuhi, mchana usiku nje kwangu analiaaa.. Nyau nyauuuuuuuuu nyau nyauuuuu,ni paka mweusi, nikimfukuza hata dakika mbili haziishi anarudi tenaa,Wajuzi naombeninmnisaidie kwa hili tafadhali
Atakwambia ana uwezo mkubwa wa kunusa na kusikia harufu ya maiti mtarajiwa au mtu anaetaka kufa, wanamezeshana ujingaHarufu ya cell zilizo kufa ... How?
Hahah paka ni paka mbaya binadam....huu msemoWameweka humu hio makala pitia vizuri utaiona Ila Bundi ni Ndege tu hizo Imani potoofu mnamvalisha nyinyi
Bundi ni Ndege tu acha kua na Imani hizo potofuHayo ni mambo ya kiroho so hujayajua yanavofanya kazi! Bundi sio ndege mzuri at all kwenye maswala ya kiroho.
Naona wewe unaleta mambo ya mwilini.
Kama kuna bundi hapo mayai yake ni dili, yanatafutwa sana..yai moja unaweza ramba 1M. Ukipata nijulishe nikukonect na watu🤣🤣🤣
Bundi wanalia ila kuna milio bundi akilia ujue kuna jamboNimekwambia huku nilipo Bundi wanalia usiku hakuna anaekufa mnalishana Imani potofu tu Kamchape Lambalamba
Iman potofu zipo na ukifanya masihara zinapita na weweBundi ni Ndege tu acha kua na Imani hizo potofu
Ndio hivyo Bundi ni Ndege tuHahah paka ni paka mbaya binadam....huu msemo
Ni ndege kwan mtu amesema sio ndegeNdio hivyo Bundi ni Ndege tu