stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Ndio nakwambiaje hata kuku kukiwa na kicheche bandani hua anabadirisha mlio kuonyesha kuna hatari Kuna hatari kuna hatari Ila Bundi alie uniambie kaja kutoa taarifa kwamba ndani mtu atakufa? Yaan na wewe kabisa unakubari Bundi akilia kwenye paa la nyumba yenu basi kuna mtu mtamzika unakubari kabisa?Bundi wanalia ila kuna milio bundi akilia ujue kuna jambo
Wanyama wamepewa uwezo mkubwa sana wa kuhisi kuna wanyama kabla ya tetemeko kuja wanajua na wanaondoka kabla