Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kwa iyo wewe unaona maandamano ndo maendeleo?
Una akili kweli?
Una akili kweli?
Tumepigwa mbaya sana si kdg. Hii nchi sijui ilimkosea nn Mungu mpk anaiadhabu kiasi kikubwa kama hiki.
Hakuna aliyehukumiwa kwenye kesi ya akina Mbowe. Watuhumiwa so far ni wa4 na hakuna aliyekuhumiwa. Kwanini Rais anasema wameshahukumiwa? Eti Mbowe amefanya vurugu na kuitisha maaandamano, ina maana Rais hana taarifa kwamba maandamano ni haki ya kikatiba? Rais anasema wapinzani wanafanya maandamano na kuchoma magari, ni lini hayo yametokea? Huenda wasaidizi wa Rais hawafanyi kazi yao sawa hii si sawa kbs.