peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
" Ongeza sauti mkuu"Samia ni mweupe kichwani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
" Ongeza sauti mkuu"Samia ni mweupe kichwani.
Hoja yangu ime base kwenye interview yake, ni maslahi gani yangu yameguswa kwenye interview.Nope. Criticism yako kuhusu Rais Samia ni kwa sababu maslahi yako ya kisiasa yameguswa basi.
Mlimsema hivyo Rais Magufuli mkamwita dikteta uchwara. Leo hii anaonekana afadhali kwa sababu hayupo hai?
Rais pekee atakayeonekana imara kwenu ni yule tu atakayefanya yale mnayoyataka. Pale atakapopishana nanyi mara moja ataonekana hafai.
Kwa sisi wengine kufeli au kufaulu kwa Samia hakutegemei mambo yenu ya siasa.
Amefanya vyema kuhojiwa maana hata ambao walikuwa hawajui udhaifu wake wameuona wazi.Nampongeza madam president amefanya vema kuongea na BBC. Lazima tufahamu asili yetu binadamu kwamba mwanaume ni tofauti na mwanamke. Kwa hulka,silka na haiba ya mama yetu tunahitajika kumpongeza.
Jibu swali uliloulizwa?
Kujua kusoma na kuandika ndio ugonjwa ulionaKaiulize katiba ya JMT inayohalalisha maandamano.
Nchi inaendeshwa na Mwigulu Nchemba sasahiviIQ ikiwa ndogo mkuu ni tatizo. Tutaona mengi hadi 2025. Nchi inapitia magumu sana
kikeke amelegea utadhani mfanyakazi wa TBCIle haikuwa interview yalikuwa mazungumzo ya posa tu
Umesahau JKNchi inaendeshwa na Mwigulu Nchemba sasahivi
Umesahau JK
HahahaKama umeanza kuwa na wasiwasi naye leo basi nakupa pole mkuu, mwenziyo tangu atuambie kuwa tutaomboleza siku 14 badala ya 21 tukajua tayari fwamba.
😀 😀 😀 alikuwa hajasoma kipengele kilichoandikwa kwamba raisi anambolezwa siku 21.Kama umeanza kuwa na wasiwasi naye leo basi nakupa pole mkuu, mwenziyo tangu atuambie kuwa tutaomboleza siku 14 badala ya 21 tukajua tayari fwamba.
IqLow iq Kwa kipimo kipi?
Uwezo wa kuongoza sio kupiga hata majambazi yanapiga tena yanaua.Wewe mwenye uwezo wa kuongoza Nchi mbona uko mitandaoni unajiongelesha tuu hapa.
Leta chokochoko afu utaona kama ana uwezo wa kuongoza au hana
Kana kwamba sisi wengine hatujaiona ile interview? Kutafuta udhaifu kwenye performance bora kabisa kutoka kwa Rais Samia ni kudhihirisha jinsi miwani yenu ilivyowekwa tinted ili kuona tu yale mnayotaka myaone. Msipoyaona au kusikia Rais kashakuwa mbovu.Hoja yangu ime base kwenye interview yake, ni maslahi gani yangu yameguswa kwenye interview.