Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Tumepigwa mbaya sana si kdg. Hii nchi sijui ilimkosea nn Mungu mpk anaiadhabu kiasi kikubwa kama hiki.
Hakuna aliyehukumiwa kwenye kesi ya akina Mbowe. Watuhumiwa so far ni wa4 na hakuna aliyekuhumiwa. Kwanini Rais anasema wameshahukumiwa? Eti Mbowe amefanya vurugu na kuitisha maaandamano, ina maana Rais hana taarifa kwamba maandamano ni haki ya kikatiba? Rais anasema wapinzani wanafanya maandamano na kuchoma magari, ni lini hayo yametokea? Huenda wasaidizi wa Rais hawafanyi kazi yao sawa hii si sawa kbs.
Kitishio cha uwekezaji ni magaidi kutawala au magaidi kudhibitiwa?Wanatumikia vifungo maana yake tayari kuna magaidi nchini.
Kama umeanza kuwa na wasiwasi naye leo basi nakupa pole mkuu, mwenziyo tangu atuambie kuwa tutaomboleza siku 14 badala ya 21 tukajua tayari fwamba.
Low iq Kwa kipimo kipi?Tutafika huko 2025 basi mkuu ? Huyu mbona chali mda wowote !! Extremely low IQ for a president!
Nope. Criticism yako kuhusu Rais Samia ni kwa sababu maslahi yako ya kisiasa yameguswa basi.Baada ya kusikiliza interview ya Rais Samia Suluhu na Salimu Kikeke, nimegundua mambo matatu kwenye uongozi wa Samia Suluhu, aidha Rais hayuko well informed au anadanganywa/potoshwa au uwezo wake wa kutambua mambo ni mdogo.
Pamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na watu wake (inner circle) aliowaamini waliokuwa wanampatia taarifa sahihi hasa za ndani, SSH hana anategemea watu wa system ambao wengi wao wana ajenda zao binafsi ikiwemo ya kumpata mrithi baada yake.
Kwamba Marekani wakimaliza uchaguzi hakuna mikutano ya hadhara wala maandamano, it’s wrong, hadi leo Trump anafanya mikutano, Marekani maandamano ni kila siku tumeona wakati wa ‘Black Lives Matters’ nk nk.
Kwamba yeye (Samia) hawezi kuingilia kesi iliyo mahakamani wakati huo huo anazungumzia maendeleo ya kesi iliyopo mahakamani, kuwa, wanaoshitakiwa kwa ugaidi pamoja na Mbowe kesi zao zimeshasikilizwa na wanatumikia vifungo kabaki Mbowe, hii ni kama keshamhukumu Mbowe anawajenga watu kisaikolojia kuwa kama wenzake wamehukumiwa lazima Mbowe naye atumikie kifungo, hii sio sahihi.
Kwamba, Mbowe alikimbilia Kenya akaanza kupanga ugaidi, kidiplomasia hili halina afya linaweza kusababisha mgogoro kuwa Kenya inahifadhi watuhumiwa wa kigaidi.
Kama Rais mwenyewe anaitangazia dunia kuwa kuna watu Tanzania wamehukumiwa kwa ugaidi anategemea investor gani ata invest kwenye nchi ya magaidi, it’s just a common sense kulitambua hilo.
Haya ni machache kati ya mengi niliyoyaona kuhusiana na uwezo wa Rais kuchambua mambo kwa hadhi ya urais. Kama ni wasaidizi wake wanampotosha ama yeye kwa makusudi anaamua kupotosha, basi yampasa awe na uwezo wa kugundua na kujua madhara yake.
Leo kuna watu wameanza kuwa na wasiwasi na uwezo wa Samia (kiuongozi).
Ndio maana nikasema naanza kuwaelewa watu hasa ‘Sukuma Gang’ kina Gwajima, Polepole, Bashiru wanaoonyesha wazi kutofautiana na Mwenyekiti wao, pamoja na sababu kutosemwa lakini wana send message kuhusiana na uwezo wa rais.
Kwa iyo wewe unaona maandamano ndo maendeleo?
Una akili kweli?
Mkuu usiniwekee maneno mdomoni plz. Hakuna niliposema huo upupu ulioandika hapo acha kukurupuka na kujidhalilisha kiasi hiki.
Tangu aingie madarakani nilikuwa sijamsikia akihojiwa live, interview yeyote hulenga kujua uwezo, uelewa na udhaifu wa mtu, unaweza kuwa na vyeti vya 1st class lkn ukashindwa kujieleza.Kama ulihitaji miezi yote hiyo kuling'amua hili then ww pia huenda huko sawa mkuu.
Umempa za uso vizuri sana!Nope. Criticism yako kuhusu Rais Samia ni kwa sababu maslahi yako ya kisiasa yameguswa basi.
Mlimsema hivyo Rais Magufuli mkamwita dikteta uchwara. Leo hii anaonekana afadhali kwa sababu hayupo hai?
Rais pekee atakayeonekana imara kwenu ni yule tu atakayefanya yale mnayoyataka. Pale atakapopishana nanyi mara moja ataonekana hafai.
Kwa sisi wengine kufeli au kufaulu kwa Samia hakutegemei mambo yenu ya siasa.
Sio maandamano ya vyama vta siasa ni maandamano ta raia,ambayo hayachochewi na vyama vya siasaBaada ya kusikiliza interview ya Rais Samia Suluhu na Salimu Kikeke, nimegundua mambo matatu kwenye uongozi wa Samia Suluhu, aidha Rais hayuko well informed au anadanganywa/potoshwa au uwezo wake wa kutambua mambo ni mdogo.
Pamoja na mapungufu yake Magufuli alikuwa na watu wake (inner circle) aliowaamini waliokuwa wanampatia taarifa sahihi hasa za ndani, SSH hana anategemea watu wa system ambao wengi wao wana ajenda zao binafsi ikiwemo ya kumpata mrithi baada yake.
Kwamba Marekani wakimaliza uchaguzi hakuna mikutano ya hadhara wala maandamano, it’s wrong, hadi leo Trump anafanya mikutano, Marekani maandamano ni kila siku tumeona wakati wa ‘Black Lives Matters’ nk nk.
Kwamba yeye (Samia) hawezi kuingilia kesi iliyo mahakamani wakati huo huo anazungumzia maendeleo ya kesi iliyopo mahakamani, kuwa, wanaoshitakiwa kwa ugaidi pamoja na Mbowe kesi zao zimeshasikilizwa na wanatumikia vifungo kabaki Mbowe, hii ni kama keshamhukumu Mbowe anawajenga watu kisaikolojia kuwa kama wenzake wamehukumiwa lazima Mbowe naye atumikie kifungo, hii sio sahihi.
Kwamba, Mbowe alikimbilia Kenya akaanza kupanga ugaidi, kidiplomasia hili halina afya linaweza kusababisha mgogoro kuwa Kenya inahifadhi watuhumiwa wa kigaidi.
Kama Rais mwenyewe anaitangazia dunia kuwa kuna watu Tanzania wamehukumiwa kwa ugaidi anategemea investor gani ata invest kwenye nchi ya magaidi, it’s just a common sense kulitambua hilo.
Haya ni machache kati ya mengi niliyoyaona kuhusiana na uwezo wa Rais kuchambua mambo kwa hadhi ya urais. Kama ni wasaidizi wake wanampotosha ama yeye kwa makusudi anaamua kupotosha, basi yampasa awe na uwezo wa kugundua na kujua madhara yake.
Leo kuna watu wameanza kuwa na wasiwasi na uwezo wa Samia (kiuongozi).
Ndio maana nikasema naanza kuwaelewa watu hasa ‘Sukuma Gang’ kina Gwajima, Polepole, Bashiru wanaoonyesha wazi kutofautiana na Mwenyekiti wao, pamoja na sababu kutosemwa lakini wana send message kuhusiana na uwezo wa rais.
Huyu mama ingebidi akaimbe qaswida msikitini,Uraisi Kwake ni bahati mbaya,
Yeye na mwendazake,wote hawakustahili kuwa wakazi wa magogoni, ni wepesi sana,hawajiamini,Wana low self esteem,kiasi kwamba Ili wajisikie wapo,lazima watukane,waumize,wakejeri,wajitambe,yule mwanga,alitegemea atakavyoamka kufanya maamuzi,
siasa ikifeli, kila kitu kimefeli....amka kutoka usingiziniNope. Criticism yako kuhusu Rais Samia ni kwa sababu maslahi yako ya kisiasa yameguswa basi.
Mlimsema hivyo Rais Magufuli mkamwita dikteta uchwara. Leo hii anaonekana afadhali kwa sababu hayupo hai?
Rais pekee atakayeonekana imara kwenu ni yule tu atakayefanya yale mnayoyataka. Pale atakapopishana nanyi mara moja ataonekana hafai.
Kwa sisi wengine kufeli au kufaulu kwa Samia hakutegemei mambo yenu ya siasa.
Unatangaza familia yenu wote ni malaya unategemea watu kuja kuchumbia kwenu, ni mfano tu.eleza udhaifu sasa kutilia shaka ni ambiguous statement.
Nampongeza madam president amefanya vema kuongea na BBC. Lazima tufahamu asili yetu binadamu kwamba mwanaume ni tofauti na mwanamke. Kwa hulka,silka na haiba ya mama yetu tunahitajika kumpongeza.