Naanza kuwaona vijana South Africa baada ya bei ya Passport kushuka

Sikuwa na hiyo barua wala nini! Barua za Serikali za mitaa hua zinasaidia sana kama hujaajiriwa sehemu yoyote! Kama umeajiriwa, introduction letter inakubeba vizuri tu
Nice tip, Leo naamkia kwa mwenyekiti wangu Siyajali.
 
Huu ni usumbufu sana. NIDA walichukua taarifa hizo zote. Hadi habari ya mama na baba. Hata vyeti vya kuzaliwa. Washirikiane data base. We mtu uende na kitambulisho cha NIDA na hiyo pesa yao. Hayo mambo mengine ni urasimu na kukwamishana kusiko na msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…