Ongea na mzazi afuatilie affidavit/kiapo mahakamani ni Tshs. 5000..Niliambiwa TIN namba au kitambulisho vha mjasiliamali nikakwama hapo, nikakwama pia cheti cha kuzaliwa cha mzazi mmoja na pia barua ya mwaliko kule nakoenda au sababu ya mashiko ya safari, nkakwama hapo pia mkuu
Wanasema kama hawana affidavit basi wanatengeneza pale pale kwa mwanasheria wao kwa 20,000/=Ongea na mzazi afuatilie affidavit/kiapo mahakamani ni Tshs. 5000..
Ngoja wadau waongezee hapa..
Tukamwone khumbu[emoji23][emoji23][emoji23]Nyie watu wa ajabu sana. Mnataka kwenda south kufanya nini!! Mmesahau yale mauwaji kwa wafanyabiashara!!!
Ndiyo mazingira ya upigaji pesa hayo.. nenda mahakama ya serikali upewe ni tshs 5000Wanasema kama hawana affidavit basi wanatengeneza pale pale kwa mwanasheria wao kwa 20,000/=
Huyo alikuwa na bahati mbaya tu. Ukiwa na passport ya zaman process ya kupata mpya sio ndefu, Yani hata maswali huulizwi. Unajaza form na unaenda na passport ya zamani kila kitu faster.brother usibishe kama huna uhakika pale uhamiaji huna sababu ya safari hupewi passport labda kama sasa wameondoa hiko kipengele, wakati nahangaikia passport yangu kuna mtu kakataa kupewa passport mpya wakati iliyoisha muda wake imechafuka mihuri sababu tu hana sababu ya safari, bila kuwa na sababu ya safari ingenitoka hela ya ziada na ndo nachoshukuru kuipata passport na sio vinginevyo
Mkuu mke wako yupo plae mapokezi / counter?Hii ni uongo hakuna punguzo mke wangu ni afisa uhamiaji kasema mnajidanganya hakuna kitu kama hicho
Naomba kueleweshwa kidogo.Cheki hapo mkuuView attachment 1798854
Huko mpakani kama UG, kuna temporary permits unapewa kama huna PSNaomba kueleweshwa kidogo.
Sijasafiri within EA kwa mda mrefu sana, ila nilivosikia ni kuwa border zipo open kwa free movement (sijui kama ni kweli au la - ilimradi kitambulisho cha taifa kinatosha)
Hii EA passpot faida yake ni ipi? Je inatosha kuwa na EA passport na hakuna haja ya TZ passport?
Sasa faida ya EA passport iko wapi? nna rafiki yangu yeye ana hold ya EA na ya TZ. Sielewi anapata faida gani kuhold zote mbili. Mana kama movement within EA ndo kama ivo kitambulisho ama permit tu inakuvukisha border.Huko mpakani kama UG, kuna temporary permits unapewa kama huna PS
Na kwasasa zinatolewa e- Ps
Kujua asili ya mzaziAfisa uhamiaji naomba uniambie hao wenye fani , wanafuata utaratibu gani kujuwa kila uraia wa mtu/watu wanaofanya maombi ya PASSPORT..
Maana umesema NiDa / Rita / serikali ya mtaa siyo vigezo..
Sure kabisaVijana wahamasishwe passport ni haki yao ya kikatiba. Wakiweza watoke nje kusuuza macho hata nchi jirani.
Goddamnit...........FYI, a passport is a privilege not a right.
Wanaweza kwaambia uje na mazao uliyolima, soil sample, stakabadhi ghalani nk. Uhamiaji ni ukuta wa Berlin usioonekana.Niliambiwa ukifika pale uhamiaji ukaulizwa kazi yako ni bora kusema mkulima kuliko kusema kazi nyingine ili kupunguza maswali
Hahahaha vip mzee [emoji23][emoji1787] alikurushia Nini..Mkuu mke wako yupo plae mapokezi / counter?
Hii screenshot ya 2015 acha kudanganya watu passport aijashuka bei iko pale pale.Cheki hapo mkuuView attachment 1798854