Ila kuna mambo na yenyewe yanashangaza! Yaani mtu anatokea nchi nyingine (Zanzibar), halafu anapewa haki ya kutawala nchi nyingine (Tanganyika)!!!Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.
Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.
Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa
Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.
Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania
Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
FUTUNGO NDO WARATIBU WA HILIIla kuna mambo na yenyewe yanashangaza! Yaani mtu anatokea nchi nyingine (Zanzibar), halafu anapewa haki ya kutawala nchi nyingine (Tanganyika)!!!
Hivi Watanganyika tutakuwa tuna matatizo ya akili bila shaka! Ni kwamba hatuna Watanganyika wenye sifa ya kutuongoza, mpaka tukubali kutawaliwa na mtu kutoka nchi nyingine kwa kisingizio eti cha muungano wa kipuuzi wa changu changu, chako changu.
Sasa hao kina Muliro, DGIS, CDF na wenzao siwakae kikao kimoja na kukubaliana kumzingua atayewazingua!!Kwakweli nakubaliana na Wewe nawachukia CCM , lakini napenda waweke mgombea Mtanganyika, angalau atakuwa na ndugu huku bara na atakuwa na huruma, Hii ya kuleta mtu kutoka nchi nyingine aje kutawala bara sio sahihi, na hii watanzania tuambizane, na ndomana mama aliamua kujipitisha mkutano mkuu, Watanganyika wasingekubali kumpa nchi mzanzibari , miaka 1000
Huu ukweli hata CCM wanaujua, sema nao ni waoga, muliro muoga akiongea anashughulikiwa, pm muoga akiongea anashughulikiwa, spika muoga akiongea anashughulikiwa, DGIS muoga akiongea anashughulikiwa, CDF, IGP wote waoga wakiongea wanashughulikiwa. Rais ni '' M U N G U'' T ANZANIA HII.
Nawaomba wana CCM, WANACHADEMA, CHAUMA, Tushirikiane tumuondoe kwanza huyu mzanzibar, hayo mengine tutaongea kindugu

Njaa, hawaaminianiSasa hao kina Muliro, DGIS, CDF na wenzao siwakae kikao kimoja na kukubaliana kumzingua atayewazingua!!
😅😅😅 Daah kama tunafika hatua ya kuwa hivi basi watanzania tumewezekanaHuyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.
Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.
Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa
Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.
Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania
Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
watu wana uchungu na nchi yao😅😅😅 Daah kama tunafika hatua ya kuwa hivi basi watanzania tumewezekana
😅😅😅Kwakweli nakubaliana na Wewe nawachukia CCM , lakini napenda waweke mgombea Mtanganyika, angalau atakuwa na ndugu huku bara na atakuwa na huruma, Hii ya kuleta mtu kutoka nchi nyingine aje kutawala bara sio sahihi, na hii watanzania tuambizane, na ndomana mama aliamua kujipitisha mkutano mkuu, Watanganyika wasingekubali kumpa nchi mzanzibari , miaka 1000
Huu ukweli hata CCM wanaujua, sema nao ni waoga, muliro muoga akiongea anashughulikiwa, pm muoga akiongea anashughulikiwa, spika muoga akiongea anashughulikiwa, DGIS muoga akiongea anashughulikiwa, CDF, IGP wote waoga wakiongea wanashughulikiwa. Rais ni '' M U N G U'' T ANZANIA HII.
Nawaomba wana CCM, WANACHADEMA, CHAUMA, Tushirikiane tumuondoe kwanza huyu mzanzibar, hayo mengine tutaongea kindugu
Aseee naona hii kitu ila inaelekea kwenye kubaguana wenyewe kwa wenyewewatu wana uchungu na nchi yao
Walisema watu wa bara wakitawala nchi inakaza. Hamna pesa ya bure na pesa ya mchezo. Lazima ufanye kazi. Shida inakuja wamezoea uzwazwa wa kupewa misaada, kutengenezewa uvivu. Sasa wengi wa hawa watu ni Muslims wa kutoka pwani. Waisramu wa bara kule iringa, njombe na shinyanga hawanaga uvivu.Wakati wa magufuli kila mtu alisema waislamu huwa wanatawala vzr na hela zinapatikana,
Ila wakristo wakitawala Hali inakuwa ngumu,
Sasa hivi mna hela, kelele zimekuwa nyingi,
It seems people don't really understand what kind of leadership they want
Kwa kitu gani hasa ambacho kinakufanya useme it's over? Kwani Katiba inasemaje? Haya shida ya Mzanzibar ni nini?Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.
Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.
Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa
Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.
Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania
Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Wewe kama nani?Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.
Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.
Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa
Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.
Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania
Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Mzanzibari akatawale nchini kwao, sio aje kuitawala tanganyika kupitia muungano feki, wewe sasa hivi tukupeleke ukawe rai wa rwanda utakuwa na uchungu na wanyarwanda kuliko ndugu zako huku tanganyikaKwa kitu gani hasa ambacho kinakufanya useme it's over? Kwani Katiba inasemaje? Haya shida ya Mzanzibar ni nini?
Acha ubaguzi wa kikabila
Tatizo si uislam wala uzanzibar, tatizo ni uwezo mdogo, Karne ya 21 mnaongozwa na form four aliyepata division four.Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.
Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.
Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa
Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.
Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania
Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Ww kichaa kwel!! Gwajima hawajawai kukamatwa na kusingiziwa kesi ya madawa ya kulevya!! Tatzo lenu nyie mnashndia madrasa muda wote hata habar za Kawaida hujui unakuja kuharisha hapa
Point yako nini?Unajua wazanzibar na wacomoro hawana tofauti kitabia na kinasaba?
Unaongea utafikiri mlikua shule moja, ila watanzania wengine bwana, kama huna cha kuchangia ni heri ukatuliaTatizo si uislam wala uzanzibar, tatizo ni uwezo mdogo, Karne ya 21 mnaongozwa na form four aliyepata division four.
Badala ya kujibu hoja ya utekaji anamshambulia mtoahoja.
Huyu anaweza kuimba taarabu tu. Hana record yoyote ya utendaji bora popote
Pole.Huyu ndiye wa mwisho na yeye Nampa siku 30 mpaka 60 za kumalizia.
Hatokuja tena kutokea mtu kutoka Zanzibar kutawala Tanzania.
Nasema haitakuja kutokea Tena na naapa
Ndio maana Nyerere hakuruhusu huu ujinga Maana Mwinyi hajawai kuwa Mzanzibar amezaliwa Mkuranga.
Kikwete na Magufuli mliwakosea Sana Watanzania
Ila nawaambia huyu mtu wenu hatoboi!! it's over over over!!
Mbaya zaidi kuna Watanganyika wanakubali hata kuua Watanganyika wenzao ili Mzanzibari aendelee kuitawala Tanganyika yetu, inasikitisha sana.