Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

Mkuu accacia ni kiwanda ?????



Halafu hayo maelezo yako yanajustify vipi kwamba yeye sio tapeli ???


Wangapi wana magari na majumba ya kifahari na ni matapeli
 
sasa cha Ajabu hata muandishi wa habari hii anamuita huyu tapeli NABII!

Kazi kweli kweli
 
Kwani hiyo video unayoiona haiwezi kutengenezwa.....na ndo maana video haikubaliki mahakamani
Kama ni hivyo basi poa, ila unahitaji mahakama ikwambie kwamba huyo mtu ni tapeli wakati unaona kwa macho yako? Huyo mbaba anaemuumbua nabii stejini ni wa kutengeneza sio?
 
Anajidai kwamba amelijua jina lake bila kuambiwa, lakini anapomuuliza anamuumbua kwamba walishakutana kabla na akampanga nini cha kuongea mida ya asubuhi kabla ya misa, AIBU,AIBU,UTPELI!! Ona video
Amkeni wabongo...enzi za miujiza zilisha pita acheni kuambudu watu na masanamu...naona mmesha anza kuingiliwa na upotoshwaji wa kinaigeria .....kweli wajinga ndio waliwao
 
Kama ni kweli ana viwanda au si kweli sio hoja hapa, hoja ni utapeli anaofanya wa waumini wake, kilochomtokea huyo wa Bushiri must fall pia sio hoja.
 
sasa cha Ajabu hata muandishi wa habari hii anamuita huyu tapeli NABII!

Kazi kweli kweli
Mkuu, kwenye heading niliandika hivi "TAPELI BUSHIRI..." Mods wakabadilisha na kuandika "NABII BUSHIRI.."
 
Kama ni kweli ana viwanda au si kweli sio hoja hapa, hoja ni utapeli anaofanya wa waumini wake, kilochomtokea huyo wa Bushiri must fall pia sio hoja.
Sio tapeli ni mjasiliamali kaona fursa ipo kwenye issue za spiritual azitumie
 
Kwa kweli kama unajifanya huna akili tukuache tu upigwe, kuna rafiki yangu mmoja juzi kaniambia kuna sijui nabii gani mwengine yupo matembele ya pili, aisee nilipoona video zake nilichoka, kumbe hii kujiangusha ni sehemu ya somo, ili upigaji ukamilike[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Acha uongo mtume Mohamed hakuwa muhubili wa injili eeh!
 
Kizungu wanasema "necessisity is the mother of invention". Ila hapa kwa kweli, necessity is the mother of UTAPELI", hususan na haya mavyumas kuwa yamekaza.
 
Biblia inaposema watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa haikukosea. Lakini bado utashangaa wanaojiita walokole a.k.a wapendwa wataendelea kumuamini tu! Hawa jamaa ni wafanyabiashara tuu.[emoji36]
Kabisa mkuu. Yaani hao waumini wake hawana tofauti na waumini wa Bitcoins etc.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…