''Watu wangu wanahangamia kwa kukosa maarifa'' siku hizi watu wanafanya dini biashara. Tuwe makini matapeli wapo kila sehemu kwa sasa. Na hii yote ni kwasbb watu wanapenda miujizajamaa ni tapeli haswaa. Kuna video clip flani hivi ipo Youtube inaonesha eti jamaa anatembea heawani wakati clearly kunasehemu alijishikilia kwa juu. Kuna nyingine ilionesha vitu ambavyo alidai kuwa ni malaika wakati ilionekana wazi wazi kwamba ni computer effects.
Mambo ya ajabu sana. Hajiamini na anajua fix zake waumini wengi walishaanza kuzishtukia....sasa cha kuchekesha yeye mchungaji fake bushiri akaanza kusisitiza "No body Put Fire there Watch" huku anarudia maneno hayo mara nyingi...
Usiwahukumu , hao waumini na Kuwaita wajinga , huenda hata na wewe ni mjinga kwa hapo unapo abudu, omba mwenyezi mungu aturehemu ,na atujalie mwanga wa roho mtakatifu , maana alisema kutakuwa na manabii wa uongo ,, like Elijah did at Mt Carmel for the false prophet.Njia mojawapo ya kujipatia kipato ni kuhadaa wajinga japo sio halali ila ndio duniani unaishi kwa kundi la Wenye nacho
Hao ni wajinga, acha kutetea ujinga, unless otherwise na wewe umeshatumbukia kwenye huo ujinga wa miujiza feki..Usiwahukumu , hao waumini na Kuwaita wajinga , huenda hata na wewe ni mjinga kwa hapo unapo abudu, omba mwenyezi mungu aturehemu ,na atujalie mwanga wa roho mtakatifu , maana alisema kutakuwa na manabii wa uongo ,, like Elijah did at Mt Carmel for the false prophet.
Hasa c lazima nabii apanic jamaa atataka kumwaribia biasharaI think it was totally rude alivyo mwita crazy alafu congregation wanamcheka! Mbaya sana walahi!
Si sahihi kumdhalilisha mzee wa watu namna ile kisa tu ameamua kusema ukweli..!Hasa c lazima nabii apanic jamaa atataka kumwaribia biashara
Anamuiga Mhubiri mnyenyekevu maarufu wa Miaka ya zamani kidogo huko marekani aliyekuwa na karama halisi na hakua after money at all ila kumtumikia Mungu na kuwaleta watu kwake naitwa William Branham. (1906-1965)Anajidai kwamba amelijua jina lake bila kuambiwa, lakini anapomuuliza anamuumbua kwamba walishakutana kabla na akampanga nini cha kuongea mida ya asubuhi kabla ya misa, AIBU,AIBU,UTPELI!! Ona video
Kabisa. Nnahisi hawakumpanga vyema kablaSi sahihi kumdhalilisha mzee wa watu namna ile kisa tu ameamua kusema ukweli..!
Walimpanga vyema, sema jamaa ni mkali na ndicho kilichomfanya mzee ajikanyage na kuchanganyikiwa mbele za watu, maana ukweli hutoka kirahisi mdomoni, ila uwongo ni hadi uufikirie, sasa ukishapanic mbele za watu ukweli tu ndio hutoka..
Huyo jamaa ni mmalawi ila utapeli wake anaufanyia South Africa maana amegundua manyumbu wa kule ndio wenye pesa ukilinganisha na makapuku wa MalawiMi nilijuaga ni mbongo ilo jina Bushiri si la kibantu ilo?
Na yeye si anatumia jina hilohilo?Ukiangalia video clips nyingi za huyu bwana mchungaji Abushiri ndani ya Youtube utagundua ni kiasi gani alivyo fake.
Anawadanganya waumini wake kwamba ana uwezo wa miujiza kumbe hana.
Kuna Jamaa amejitokeza kumchana live na kuanzisha campaign ya "Bushiri must fall"
Mungu asaidie ifike siku Bushiri ashindwe katika Jina la Yesu Kristo.