Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

Biblia ni maneno ya MUNGU kupitia mikono ya wanadamu ndo maana Mungu amekilinda zaidi ya miaka 2000 hata sasa kisipotee.
Ingekuwa ni maneno ya wanadamu kingeshapotea.
Ndicho kitabu kinachouzika duniani kuliko vitabu vyote na kusomwa na watu wengi kwa siku.
Biblia ndicho kitabu kinachotumika kila sehemu kuanzia makanisani, msikitini, kwenye loji za Freemason,kwa waganguzi nk kwa sababu kimebeba siri za ulimwengu na ufunguo wa maisha thus sisi wazee wa knowledge tunakiita chuo cha maarifa au the coded books layman au watu wenye level ya kwanza ya ufahamu hawawezi kukielewa ukiona sawa tu na gazzet.
Hawajui nguvu ya uhai ndani mwke
 
Kwa mtu kama Wewe tunaweza Kukaa Meza Moja Tukaongea maana Weww Una observative Analysis..

Tofauti na wale wa "imeandikwa Hivyo na Kama Huna roho huwezi elewa"
 
Mwamba tupo na theolojia Kwanza .sayansi weka pembeni .Hesabu 22-27-30 Punda wa Balaam anaongea .
 
Kuna ukweli mkubwa sana ndani yake mkuu. Biblia ni uwongo ulioletwa na wazungu, kupitia kwa wamisionari ili uwalaze waafrika waendelee kuibiwa rasilimali na wazungu.
Biblia imekuwepo hata kabla ya uwepo wa wazungu duniani, unajua wazungu wametokea duniani Karne ipi
 
Setfree tia neno
 
Nimekufatilia toka mbali ila hapa umeanza kukosea ndugu yangu

Usimtukane MUNGU MWENYEZI ni mkali tukana tu hizi dini lakini siyo MUNGU atakupiga acha rafiki yangu
Huyo MUNGU MWENYEZI ni muoga kiasi gani mpaka ana ogopa kutukanwa?

Huyo MUNGU MWENYEZI kama ni mkali, Aonyeshe huo ukali wake hapa kama ana huo uwezo..!!
 
Adam na Hawa walizaa watoto wengine baada ya Kaini na Abel na Kaini alikuja kuoa mmoja wa dada zake, kumbuka zamani watu waliishi hadi miaka 900 sasa kama walianza kuzaa wakiwa na miaka 16 hadi wafike miaka 600 walizaa maelfu mangapi
Ni akina nani hao mkuu? Wanaitwaje? Tutajie walau wawili tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…