Kuna utofauti wa kutokuwa na uthibitisho wa jambo fulani na kutokuwepo kwa hilo jambo.Kama kwenye sayansi hakuna uthibitisho kwamba kuna Mungu, Si ni kwamba hayupo?
Sasa unacho kataa kwamba Mungu hayupo ni nini?
Uhalisia upo either kisayansi au kiimani. Unataka uhalisia wa kiimani tuujadili?Tunataka uhalisia sio sayansi.
Haiwezekani, hakuna uhalisia nje ya imani au sayansi. Utatumia base zipi kutafsiri uhalisia?Una elewa wewe?
Mthibitishe huyo Mungu kwenye uhalisia.
Achana na habari za sayansi au imani.
Hapa suala ni Mungu.Kuna utofauti wa kutokuwa na uthibitisho wa jambo fulani na kutokuwepo kwa hilo jambo.
Ukisema hakuna uthibitisho kuwa binadamu A ni mwizi haimaanishi kwamba ni mwizi na haimaanishi kwamba si mwizi, inamaanisha kwamba hakuna uthibitisho wa yeye kuwa mwizi. Na ndio uzuri wa sayansi huo.
Uhalisia upo either kisayansi au kiimani. Unataka uhalisia wa kiimani tuujadili?
Haiwezekani, hakuna uhalisia nje ya imani au sayansi. Utatumia base zipi kutafsiri uhalisia?
Mfano, embu thibitisha uhalisia wa ndoto bila kutumia imani wala sayansi.
Hoja ni tafsiri sio mhusika mwizi au MUNGU.Hapa suala ni Mungu.
Mambo ya binadamu A na mwizi hayahusiani.
Uhalisia unaupima kwa kutumia mambo gani? Yataje, maana hakuna mambo dunia hii nje ya sayansi au imani. Sasa ukisema huu si uhalisia unakuwa umetumia mambo gani yasiyo ya kisayansi au kiimani?Imani sio uhalisia.
Uposema hazina uhalisia unamaanisha kwa misingi gani? Mtu kaota anaongea na bibi yake akampa siri za utajiri akazitumia akawa tajiri huo uhalisia unaoufuta unaufuta kwa vigezo vipi?Ndio maana ndoto hazina uhalisia.
Hapa umetumia tafsiri ya sayansi. Sasa imani haina muingiliano na sayansi.Uhalisia ni uwepo wa kitu kwa ushahidi na uhakika.
Kwenye uhalisia upi? Wa imani au sayansi?Sasa mthibitishe huyo Mungu kwenye uhalisia aonekane yupo.
Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika wala uhalisia.Hoja ni tafsiri sio mhusika mwizi au MUNGU.
Nadhani tumeelewana kuwa kuna tofauti ya tafsiri ya kuwepo ushahidi wa kutokuwepo na kutokuwa na ushahidi wa kuwepo.
Sidhani kama hili ni jambo la kuendelea kulijadili.
Uhalisia unaupima kwa kutumia mambo gani? Yataje, maana hakuna mambo dunia hii nje ya sayansi au imani. Sasa ukisema huu si uhalisia unakuwa umetumia mambo gani yasiyo ya kisayansi au kiimani?
Uposema hazina uhalisia unamaanisha kwa misingi gani? Mtu kaota anaongea na bibi yake akampa siri za utajiri akazitumia akawa tajiri huo uhalisia unaoufuta unaufuta kwa vigezo vipi?
Hapa umetumia tafsiri ya sayansi. Sasa imani haina muingiliano na sayansi.
Kwenye uhalisia upi? Wa imani au sayansi?
Nikwafaida ya watu wenyewe na jamii nzima.Kama huyo Mungu hafaidiki chochote akiaminiwa, Sasa wewe unachohangaika hapa kumuelezea na kumtetea huyo Mungu ili watu wamwamini ni nini?
Kutokuwa na uhakika wala uhalisia kwa misingi ipi?Msingi wa imani ni kutokuwa na uhakika wala uhalisia.
Uhakika na uhalisia unaupima kwa misingi ipi? Unadhani mwenye imani juu ya budha hana uhakika na uhalisia wa anachoamini? Swali ni misingi inayoitumia kupata huakika na uhalisia.Ukishakuwa na uhakika na uhalisia wa kitu fulani wala huitaji tena kuwa na imani kuhusu kitu hicho.
Kwa misingi ipi?Imani sio uhalisia.
Kwenye misingi ipi?Hakuna uhalisia wa kiimani.
Unaelewa misingi inayoongoza mambo ya binadamu? Yamegawanyika sehemu mbili.Una elewa hilo?
Uhalisia upi? Wa kiimani au kisayansi?Thibitisha uwepo wa huyo Mungu katika uhalisia.
Hakuna jambo duniani unalolifahamu lisilo katika ulimwengu wa kufikirika.Na si imani na mawazo yako ya kufikirika tu.
Huyo Mungu anaye aminiwa kila siku ana faida gani kwa maelfu ya watu hasa wanawake na watoto wanaoteseka kwenye jamii na wanaokufa kwa njaa, vita, magonjwa na umaskini maeneo mbalimbali duniani?Nikwafaida ya watu wenyewe na jamii nzima.
Acha kukaza fuvu wewe.💀Kutokuwa na uhakika wala uhalisia kwa misingi ipi?
Uhakika na uhalisia unaupima kwa misingi ipi? Unadhani mwenye imani juu ya budha hana uhakika na uhalisia wa anachoamini? Swali ni misingi inayoitumia kupata huakika na uhalisia.
Kwa misingi ipi?
Kwenye misingi ipi?
Unaelewa misingi inayoongoza mambo ya binadamu? Yamegawanyika sehemu mbili.
1. Kisayansi
2. Kiiamani
Hakuna maamuzi, matendo wala fikra nje ya hiyo misingi miwili.
Uhalisia, nadharia, matokeo, chanzo vyoote vinajadiliwa na kutafsiriwa kwa kupitia misingi hiyo.
Uhalisia upi? Wa kiimani au kisayansi?
Hakuna jambo duniani unalolifahamu lisilo katika ulimwengu wa kufikirika.
Sawa mkuu kwanza Mungu sio kwa ajili ya wanawake na watoto.Acha kukaza fuvu wewe.💀
Hakuna uhalisia wa kiimani.
Imani ni mawazo ya kufikirika tu yasiyo na uthibitisho wowote ule.
Imani sio uhalisia.
Ukishakuwa na uhalisia huitaji tena imani.
Ukishakuwa na uhalisia, hiyo sio imani tena, Huo ni uhakika.
Uhalisia ni uwepo wa ushahidi na uhakika wa jambo fulani au kitu fulani.
Uhalisia sio imani.
Wewe una formulate uongo wako hapa.
Hakuna uhalisia wa kiimani.
Biblia sio kitabu cha kusimulia matukio ya kihistoria, kila tukio iliandikwa mlima lengo maalumu kwa maisha ya mwanadamu. Unahitaji kuangaziwa na roho mtakatifu kuweza kuielewa, sio Tu kutumia akili za kibinadamu. Yesu anasema "nakushukuru baba wabingu na nchi, kwa kuwa mambo haya umewaficha wenye akili na kuwafunulia watoto wadogo"Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Nabii Mkuu na maarufu Afrika Mashariki na Kati, Nabii GeoDavie, kwa mara ya kwanza ameipinga biblia hadharani kama unavyoweza kumsikiliza kwenye video ifuatayo. Nabii Mkuu ametanabahisha hilo baada ya kukerwa na watu wanaomuandama kila kukicha kuwa hatumii maandiko yaliyomo kwenye biblia katika mahubiri yake. Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa mkuu.
View attachment 3279501
MAONI YANGU
Kwa muda mrefu nimekuwa siyaamini mahubiri ya Nabii GeoDavie lakini kwa hili la biblia ni kama vile namuelewa kwa mbaaali! Nasimama na Nabii kwani hata mimi kuna baadhi ya maandiko katika biblia yananipa shida kuamini kama kweli yaliandikwa na Mungu au ni maneno tu ya wanadamu.
Baadhi ya maandiko tata yaliyomo kwenye biblia na ambayo yanawashangaza wengi ni kuhusu kuumbwa kwa mwanadamu pale bustanini Eden na kisha mwanadamu akadanganywa na nyoka na kujikuta akiadhibiwa na Mungu. Adhabu ambazo mwanadamu aliadhibiwa na Mungu zinasimama hadi leo.
Kwanza, huyo nyoka aliyemdanganya Eva akala tunda la ujuzi wa mema na mabaya alitoka wapi mbona uumbaji wa nyoka haukutajwa kwenye hadithi ya uumbaji? Au kuna mpinzani wa Mungu aliyemuumba huyo nyoka ili kuharibu mipango ya Mungu?
Pili, Mungu alikuwa na malengo gani kumuumba mwanadamu mwenye akili pungufu ukilinganisha na akili za nyoka huku akijua kuwa nyoka angemdanganya kwa urahisi na kumlisha matunda kutoka mti uliokatazwa na Mungu?
Tatu, kwanini Mungu aliumba huo mti wa matunda huko Eden huku akijua kuwa matunda yale yangetumiwa na nyoka kumlisha mwanadamu aliyemuumba? Inawezekana Mungu alifanya makusudi ili mwanadamu ale matunda kisha amuadhibu adhabu ya milele?
Utata mwingine ni kuhusu kuoa kwa Cain na Abel. Adam na Hawa walifanikiwa kuzaa watoto wawili tu wa kiume, ambao ni Cain na Abel. Lakini ukisoma katika kitabu cha Mwanzo 4:17, imeandikwa kwamba Cain alimjua mke wake, na akapata mimba na kumzaa Enoch. Huu mstari unazua utata kuhusu ni wapi mke wa Cain alipatikana ikichukuliwa kuwa Adam na Eva walikuwa ndio viumbe pekee waliokuwepo duniani wakati huo. Hata jina la huyo mke wa Cain halijatajwa mahali popote pale kwenye biblia.
Kwa mifano hii ya utata (contradictions), na mingine mingi iliyojaa kwenye biblia, kuna uwezekano mkubwa kuwa biblia ni mradi wa wanadamu, hasa wazungu, iliyotungwa kwa manufaa yao binafsi, hasa maslahi ya kikoloni.
Nawasilisha.
Manabii ndio wametupeleka hukuHuyo Mungu anaye aminiwa kila siku ana faida gani kwa maelfu ya watu hasa wanawake na watoto wanaoteseka kwenye jamii na wanaokufa kwa njaa, vita, magonjwa na umaskini maeneo mbalimbali duniani?
Huyo Mungu ana faida gani kwa watu kama hawa wanaoteseka kila kukicha na kuishia kufa tu....👇View attachment 3280876View attachment 3280879View attachment 3280874
Huyo Mungu aliumbaje binadamu wenye uwezo wa kuasi?Swa
Sawa mkuu kwanza Mungu sio kwa ajili ya wanawake na watoto.
Ni kwa ajili wanadamu na mazingira yao kwa ujumla.
Pili chimbuko la yote hayo ni matokeo ya uasi wa wanadamu wenyew.
Kama amri kuu ni upendo, Mbona huyo Mungu alishindwa kuonyesha upendo kwa kumsamehe adui yake Shetani?Ndiyo maana amri kuu ni upendo sasa hayo yanapokosa lazma matatizo yatokee.
Hakuna FAIDA yeyote ya kumuamini Mungu.Ndo maana nmekwambia kumuamin Mungu ni faida ya watu wenyew wala Mungu hana hasara ya moja kwa moja incase hatutaki kumwamin.
Hakuna nabii aliyewapeleka huko.Manabii ndio wametupeleka huku
Mfumo walioumbwa malaika (akiwemo lucifer) ni non-reformable creatures. Sio shetan tuu bali malaika wakiasi ndo jumla.Huyo Mungu aliumbaje binadamu wenye uwezo wa kuasi?
Huyo Mungu alishindwaje kuumba binadamu wasio na uwezo wa kuasi?
Kama amri kuu ni upendo, Mbona huyo Mungu alishindwa kuonyesha upendo kwa kumsamehe adui yake Shetani?
Huyo Mungu mpaka leo kashindwa kumsamehe adui yake Shetani na akamlaani badala ya kuonyesha upendo kwa kumsamehe.
Huyo Mungu mwenyewe hana upendo wowote bali ana kinyongo na kisasi.
Huyo Mungu hafai kabisa anastahili kufurushwa huko alipo.
Huyo Mungu ameshindwa hata kuwa mfano wa upendo.
Hakuna FAIDA yeyote ya kumuamini Mungu.
Ndio maana hata nyie waamini huyo Mungu mnateseka na shida za dunia na huyo Mungu mnaejifanya kumuamini, Hawasaidii chochote!!!
Hakuna Mungu wa kuaminiwa mwenye faida yeyote.
Mungu hajawahi kuwepo, hayupo na hatakaa awepo milele.
Ujinga wa wanawake zenu wanaojaa kwa manabii ili kuuziwa mafuta, chumvi,maji ya bomba na vitambaaHakuna nabii aliyewapeleka huko.
Bali ni ujinga wenu ndio umewapeleka huko.
Hata wanaume wapo vilevile.Ujinga wa wanawake zenu wanaojaa kwa manabii ili kuuziwa mafuta, chumvi,maji ya bomba na vitambaa
Huyo Mungu kwa nini aliumba malaika wenye uwezo wa kuasi?Mfumo walioumbwa malaika (akiwemo lucifer) ni non-reformable creatures. Sio shetan tuu bali malaika wakiasi ndo jumla.
Mungu muweza wa vyote, Alishindwaje kuumba dunia isiyo na uasi, uovu wala mabaya?Binadamu ameumbwa kwa mfumo ambao ni highly modified kulko malaika they can restored, reformabls creatures ndo maana huwa tunajiskia hali ya kutubu.
Kuhusu huruma, Mungu alionyesha huruma kwa shetan ndo maana hakumuangamiza moja kwa moja.
Huyo Mungu kwa nini alimruhusu Shetani aendelee kuwepo duniani kwa binadamu wakati anajua fika shetani analeta uharibifu?Binadamu allumbwa akapewa mamlaka juu kila kitu akiwemo shetan kosa tulilo lifanya ni sisi kumpa access ya kutawala.
Kwa mfano ujenge nyumba na una mali kibao then unailaghaiwa na wajanja af wanakuwa na access ya mali zako.
Hujui maana ya uhalisia umekariri.Acha kukaza fuvu wewe.💀
Hakuna uhalisia wa kiimani.
Imani ni mawazo ya kufikirika tu yasiyo na uthibitisho wowote ule.
Imani sio uhalisia.
Ukishakuwa na uhalisia huitaji tena imani.
Ukishakuwa na uhalisia, hiyo sio imani tena, Huo ni uhakika.
Uhalisia ni uwepo wa ushahidi na uhakika wa jambo fulani au kitu fulani.
Uhalisia sio imani.
Wewe una formulate uongo wako hapa.
Hakuna uhalisia wa kiimani.