Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Walirudi lini?Wanasayansi waliosema hakuna MUNGU wote walirudi kwenye kutokuwa na ushahidi kuwa yupo na si ushahidi kwamba hayupo.
Leta ushahidi na uthibitisho hapa sio maneno yako tu.
Kuna ushahidi gani kwa kitu ambacho hakipo?
Hakuna ushahidi kwa kitu ambacho hakipo.Sijui kama unaelewa tofauti?
Kisichokuwepo hakina ushahidi.
Vitu vilivyopo ndio vyenye ushahidi.
Sasa wewe toa ushahidi wa kwamba Mungu yupo.
Ukishindwa kutoa ushahidi wa kwamba Mungu yupo, Ni kwamba wewe ni muongo na huyo Mungu unayedai yupo, Hayupo.
Jukumu la kuthibitisha uwepo wa Mungu ni la kwenu nyie mlioanzisha habari za uwepo wa huyo Mungu.Kwa kingereza ili uelewe,
Scientists follow the "no evidence for God" argument rather than attempting to "disprove God."
kwambaaaa, kwa sasa sayansi haina uthibitisho wa uwepo wa MUNGU nje ya imani. Ukitaka kufahamu uwepo wa MUNGU utaupata ndani ya imani na si nje ya imani.
Kwa kingereza ili uelewe
science does not currently provide evidence for the existence of God only, faith can.
Sasa wewe unataka sayansi ikuthibitishie madai yako uliyo yaanzisha wewe?
Thibitisha madai yako.
Thibitisha Mungu yupo.
Acha kuleta maneno ya kuzunguka zunguka. Mara Kikapanda kikashuka.