Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

Wewe unaweza kufanya hivyo? Yaani uwape watoto wako silaha, uwatupie joka lililokushinda wewe chumbani, halafu uwaambie sasa pambaneni mkishindwa sio kosa langu, na on top of that mkishindwa ntawachoma moto milele?

What a loving God 😀
Mwanadamu ambaye ulizaliwa na mda wowote unakufa hutakaa umjue Mungu kwa akili zako zilizojaa uasi
 
Swali jepesi boss, mpaka kufikia tarehe ya leo, sayansi inasema nini juu ya uwepo wa MUNGU? Inasema hakuna MUNGU au hakuna uthibitisho kuwa kuna MUNGU?
Sayansi haina mdomo wa kusema wala kuongea.

Kuna mawazo na maoni ya wanasayansi ambao ni binadamu kama wewe. Ambao na wao wana imani zao kama wewe.

Ndio maana kuna wanasayansi ni Atheists na wengine ni Theists.

Suala la MUNGU sio la kisayansi, Bali ni la kiimani na kidini.

Ninyi waamini huyo Mungu ndio mnapaswa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu.

Sayansi haiwezi kuthibitisha kitu ambacho haijakianzisha.

Kwenye Sayansi hakuna Mungu.
 
Litakuwa lakijinga ndiyo, je huko dar es salaam kunasehem inaitwa dar es salaam? Kama haipo kwanin wew unatafta sehemu iliyo andikwa bibilia ndan ya bibilia?.
Umeshasema huko Dar es Salaam alafu unauliza tena kuna sehemu inaitwa Dar es Salaam, mbona una uwezo mdogo sana wa kujenga na kutetea hoja.

Leta andiko lilalotambua kuna kitabu kinaitwa Biblia kama hamna sema hamna wacha porojo
 
Umeshasema huko Dar es Salaam alafu unauliza tena kuna sehemu inaitwa Dar es Salaam, mbona una uwezo mdogo sana wa kujenga na kutetea hoja.

Leta andiko lilalotambua kuna kitabu kinaitwa Biblia kama hamna sema hamna wacha porojo
Ok,mim nna uwezo mdogo wa kujenga hoja, wew unadhani una uwezo kiasi mkuu low, mid, higelher? jipe marks.
 
Sometimes wadau before hamjamuunga mkono huyo geodev na wote msioamin uwepo wa Mungu kaulizene wazaz wenu.
Tena mkawaoneshe jinsi mlivyo na ushaidi wa kutoanin uwepo wa Mungu.
Halaf sis wengne tuanzie walipoishia wazaz wenu.

Nimesema hivi kwakuwa msingi wa ufaham na tabia unaathiriwa kwanza na malez then inafuataa jamii kwa ujumla.
 
We should not believe God to avoid such mentioned factors but as reason why should we depend on science and technology.
We depend on science and technology to solve our life problems because it works and it helps.

Beliefs alone cannot solve anything.

Beliefs don't work and help nothing.
Aren't we depend/use technology becoz we are to avoid to die, sickness or poverty?. If yes can science &, technology set as free from such probloms?.
And if no is a science & tech such useless??
Science and technology have reduced the rate of deaths, many diseases can now be treated and cured.

All of these, it's by the help of science not beliefs.
 
Kwahiyo Muddy yale maneno aliyatoa wapi?

Uislamu umetuhusia tuachane na watu wasio na staha katika mazungumzo mfano wanaokuja kishari , matusi ,dhihaka nk baada ya kukaa mezani kistaarabu na kujadili kwa hoja .
 
Kupata sadaka kidogo tu ya kununua makolo kolo yale sijui range sijui nini..........kashamuona mungu hana kazi kwake.........ndio maana mwanaye alikufa kifo cha ajabu ajabu .............yaani kwenu kuwe na pesa harafu ujiue tu kienyeji.......inashangaza ....?.......huyu sio nabii huyu ni mganga wa kienyeji anayeyamka jina la yesu
 
Sometimes wadau before hamjamuunga mkono huyo geodev na wote msioamin uwepo wa Mungu kaulizene wazaz wenu.
Tena mkawaoneshe jinsi mlivyo na ushaidi wa kutoanin uwepo wa Mungu.
Halaf sis wengne tuanzie walipoishia wazaz wenu.

Nimesema hivi kwakuwa msingi wa ufaham na tabia unaathiriwa kwanza na malez then inafuataa jamii kwa ujumla.
Huyo Mungu asipoaminiwa, anapungukiwa nini?

Huyo Mungu akiaminiwa, anafaidika nini?

Huyo Mungu hajiamini kabisa hadi anahitaji kuaminiwa?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
 
... hata mimi kuna baadhi ya maandiko katika biblia yananipa shida kuamini kama kweli yaliandikwa na Mungu au ni maneno tu ya wanadamu.
Shida yako imeanzia hapo. Ni kiongozi gani wa dini ya Kikristu aliyekufundisha kuwa Biblia iliandikwa na Mungu? Nadhani itakuwa umebeba concepts za waisilamu ambao wao wanaamini kuwa maandiko yalishushwa na allah. Katika Ukristu, hakuna kitu hicho na ipo wazi kuwa waandishi ni binadamu na wanatajwa kwa majina kabisa
 
Uislamu umetuhusia tuachane na watu wasio na staha katika mazungumzo mfano wanaokuja kishari , matusi ,dhihaka nk baada ya kukaa mezani kistaarabu na kujadili kwa hoja .
Acha kutia huruma jibu swali, Muddy maneno ya kusema peponi wanaume watapewa mabikra 72 na mapipa ya pombe aliyatoa wapi?
 
Mkuu kwani science mnayoiaminia saiv imetoka nchi moja? Si kwamba ni muunganiko wa ideas mbalimbali? Anyway ili uamin kwamba ni kitabu cha kweli ulitaka kiandikweje, na nani?.
Pesa zina aminiwa na kila mtu je wote wanajua ziliko toka? Je wote wanaoendesha magar wanajua yalikotoka na historia zake? Je hawafaidiki kwa kutokujua historia za vitu wanavyo vitumia?

Ni vema kujua historia kutokana kiu ya kujifunza na pia nafasi ya mtumishi ktk kanisa ili kuwafunsha wengne lakin sio kwa ajili ya kuproove bible.
Ukiamini Kitu bila kukijua vizuri si kitu kinazhoweza kukuweka kwenye mazingira ya Uhalali wa Hicho kitu..

Mifano yote uliyotoa Haiendani na Tunachokielezea..
Vitu vilivyomo ndani ya Biblia si vitu vinavyoonekana ni viti vinavyohitaji imani zaidi kuliko Kuviobserve Imani yoyote..

Huwa ni lazima ichunguzwe kabla ya Kuaminiwa..
Unahisi Kwanini Wewe Hujawa Mbudha au Hujawa Mhindu?

Soma uelewe ndo maana Historia Ya Kanisa Churches History hufundishwa kabla ya Kujua vipi tulifika hapa lengo ni kuweka Misingi imara ya Imani..

Imani isiyokuwa na Tumaini ni imani iliyokufa sijui kama Umenielewa Faith without hope ni Tupu..

Na Hope inakuja Kwa Kujua Ulipotoka ulipo na Unakokwenda
 
Back
Top Bottom