Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

Huyo Mungu asipoaminiwa, anapungukiwa nini?

Huyo Mungu akiaminiwa, anafaidika nini?

Huyo Mungu hajiamini kabisa hadi anahitaji kuaminiwa?

Hivi huyo Mungu ana jielewa kweli?
Hapo mkuu Mungu hafaidiki chochote na watu kumwamini.
Nisawasaw na mtu kukazana kuwaasa vijana wastumie madawa ya kulevya, ilihali yeye ni mtu smart tena amefanikiwa sana na wala hafaidiki lolote ikiwa hao vijana wakitoboa.
 
Hayo maswali ukiwauliza wafia dini humu wanaanza kukulaani, ukweli ni kwamba upeo wao ni mdogo wanapelekwa km nyumbu..!!
Acha iyo, Unajua Musa alikuwa na kigugumizi,Mungu mwenyewe alimwambia Musa"Usiogope',Wewe utakuwa kipaza sauti changu(MUNGU)na bibilia iliandikwa kwa mfumo huo,bisha!
 
Sawa
Ukiamini Kitu bila kukijua vizuri si kitu kinazhoweza kukuweka kwenye mazingira ya Uhalali wa Hicho kitu..

Mifano yote uliyotoa Haiendani na Tunachokielezea..
Vitu vilivyomo ndani ya Biblia si vitu vinavyoonekana ni viti vinavyohitaji imani zaidi kuliko Kuviobserve Imani yoyote..

Huwa ni lazima ichunguzwe kabla ya Kuaminiwa..
Unahisi Kwanini Wewe Hujawa Mbudha au Hujawa Mhindu?

Soma uelewe ndo maana Historia Ya Kanisa Churches History hufundishwa kabla ya Kujua vipi tulifika hapa lengo ni kuweka Misingi imara ya Imani..

Imani isiyokuwa na Tumaini ni imani iliyokufa sijui kama Umenielewa Faith without hope ni Tupu..

Na Hope inakuja Kwa Kujua Ulipotoka ulipo na Unakokwenda
Sawa mkuu hebu tupe nondo kwamba bibiilia ilitakiwa iandikwe kwenye mazingira gani ili kikidhi vigezo vya kuwa neno la Mungu?

Pia utuelekeze kwamba ilituwe waamini ktk Mungu kupitia bibilia tunatakiwa tufanye vitu gani vya msingi?
 
Hapo mkuu Mungu hafaidiki chochote na watu kumwamini.
Nisawasaw na mtu kukazana kuwaasa vijana wastumie madawa ya kulevya, ilihali yeye ni mtu smart tena amefanikiwa sana na wala hafaidiki lolote ikiwa hao vijana wakitoboa.
Kama huyo Mungu hafaidiki chochote akiaminiwa, Sasa wewe unachohangaika hapa kumuelezea na kumtetea huyo Mungu ili watu wamwamini ni nini?
 
Sayansi haina mdomo wa kusema wala kuongea.

Kuna mawazo na maoni ya wanasayansi ambao ni binadamu kama wewe. Ambao na wao wana imani zao kama wewe.

Ndio maana kuna wanasayansi ni Atheists na wengine ni Theists.

Suala la MUNGU sio la kisayansi, Bali ni la kiimani na kidini.

Ninyi waamini huyo Mungu ndio mnapaswa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu.

Sayansi haiwezi kuthibitisha kitu ambacho haijakianzisha.

Kwenye Sayansi hakuna Mungu.
Inamaana unaijua sayansi kuliko hii miamba?.

Richard Dawkins kwenye kitabu cha The God Delusion anasema hakuna ushahidi kama MUNGU yupo.

Thomas Nagel kwenye kitabu cha mind and cosmos anasema ushahidi wa uwepo wa MUNGU haujitoshelezi.

Mkuu sikia, uwepo wa imani unatambulika na wenye akili kubwa duniani na wanasayansi, jambo ambalo linawafanya waseme hakuna ushahidi kuwa yupo MUNGU ni origin ya concept ya uwepo wa MUNGU au uumbaji wake(Japo kiimani hajaumbwa)

Wakati Science imejikita kwenye utafiti, uchunguzi na ushahidi kutafsiri uwepo, uwepo wa MUNGU umejikita kwenye imani. Hii ndo sababu wanasayansi wanasema hakuna ushahidi kuwa kuna MUNGU.

Ingia kwenye hii site biologos.org inaelezea jinsi science na imani zinavyoingiliana.

KWA UFUPI, WANASAYANSI WENGI HAWAJAHITIMISHA KWAMBA HAKUNA MUNGU, ILA WANASEMA HAKUNA USHAHIDI KWAMBA YUPO.

MUNGU ANAEXIST KWENYE ULIMWENGU WA IMANI SIYO WA KISAYANSI, UKITAKA UTHIBITISHO KUWA YUPO ITAFUTE IMANI. HII NI AKILI YA KAWAIDA TU HAIITAJI ELIMU KUBWA.

KATIKA MASWALI AMBAYO HUWA NI YA KIJINGA NI KUTAKA KUTHIBITISHIWA KUWA MUNGU YUPO NJE YA IMANI.

NB: ULIMWENGU WA IMANI HAUFUNGWI NA MIPAKA YA KISAYANSI ILA UNAMATOKEO MPAKA KWENYE ULIMWENGU WA KISAYANSI.
 
Inamaana unaijua sayansi kuliko hii miamba?.

Richard Dawkins kwenye kitabu cha The God Delusion anasema hakuna ushahidi kama MUNGU yupo.
Richard Dawkins na yeye ana imani na mtazamo wake.

Mawazo na mtazamo wa huyo Richard Dawkins sio mawazo ya sayansi yote kwa ujumla.

Kila mwanasayansi ana mtazamo wake kuhusu huyo Mungu.

Maoni na mtazamo ya mwanasayansi mmoja sio kanuni ya sayansi nzima kwa ujumla.
Thomas Nagel kwenye kitabu cha mind and cosmos anasema ushahidi wa uwepo wa MUNGU haujitoshelezi.

Mkuu sikia, uwepo wa imani unatambulika na wenye akili kubwa duniani na wanasayansi, jambo ambalo linawafanya waseme hakuna ushahidi kuwa yupo MUNGU ni origin ya concept ya uwepo wa MUNGU au uumbaji wake(Japo kiimani hajaumbwa)

Wakati Science imejikita kwenye utafiti, uchunguzi na ushahidi kutafsiri uwepo, uwepo wa MUNGU umejikita kwenye imani. Hii ndo sababu wanasayansi wanasema hakuna ushahidi kuwa kuna MUNGU.

Ingia kwenye hii site biologos.org inaelezea jinsi science na imani zinavyoingiliana.

KWA UFUPI, WANASAYANSI WENGI HAWAJAHITIMISHA KWAMBA HAKUNA MUNGU, ILA WANASEMA HAKUNA USHAHIDI KWAMBA YUPO.

MUNGU ANAEXIST KWENYE ULIMWENGU WA IMANI SIYO WA KISAYANSI, UKITAKA UTHIBITISHO KUWA YUPO ITAFUTE IMANI. HII NI AKILI YA KAWAIDA TU HAIITAJI ELIMU KUBWA.

KATIKA MASWALI AMBAYO HUWA NI YA KIJINGA NI KUTAKA KUTHIBITISHIWA KUWA MUNGU YUPO NJE YA IMANI.
Hata Stephen Hawking ni mwanasayansi mkubwa na alikiri hakuna Mungu directly.

Bila konakona na maneno mengi.

Imani inaweza kuwa hata ya uongo.

Unaweza kuamini hata uongo.

Sasa, tuta hakikisha vipi hiyo imani yako kuhusu uwepo wa huyo Mungu ni ukweli na si uongo?

Unathibitisha vipi imani yako kumhusu huyo Mungu ni ukweli na si uongo?
 
Richard Dawkins na yeye ana imani na mtazamo wake.

Mawazo na mtazamo wa huyo Richard Dawkins sio mawazo ya sayansi yote kwa ujumla.

Kila mwanasayansi ana mtazamo wake kuhusu huyo Mungu.

Maoni na mtazamo ya mwanasayansi mmoja sio kanuni ya sayansi nzima kwa ujumla.

Hata Stephen Hawking ni mwanasayansi mkubwa na alikiri hakuna Mungu directly.

Bila konakona na maneno mengi.

Imani inaweza kuwa hata ya uongo.

Unaweza kuamini hata uongo.

Sasa, tuta hakikisha vipi hiyo imani yako kuhusu uwepo wa huyo Mungu ni ukweli na si uongo?
Wanasayansi waliosema hakuna MUNGU wote walirudi kwenye kutokuwa na ushahidi kuwa yupo na si ushahidi kwamba hayupo.

Sijui kama unaelewa tofauti?

Kwa kingereza ili uelewe,

Scientists follow the "no evidence for God" argument rather than attempting to "disprove God."

kwambaaaa, kwa sasa sayansi haina uthibitisho wa uwepo wa MUNGU nje ya imani. Ukitaka kufahamu uwepo wa MUNGU utaupata ndani ya imani na si nje ya imani.

Kwa kingereza ili uelewe

science does not currently provide evidence for the existence of God, only faith can.

SIKIA MTAALAM, WATU AMBAO TUMECHAGUA KUWA NA IMANI, SIO KWAMBA WOTE HATUFUATILII SAYANSI, TUPO AMBAO TUNAFUATILIA SANA TU ILA ZA KUAMBIWA TUNACHANGANYA NA ZETU.

NA MPAKA SASA, TUMESHUHUDIA IMANI IKIFANYA KAZI PALE SAYANSI ILIPOFELI. NENDA TU HOSP KUBWA YOYOTE HOJI MADAKTARI, PALE WANAPOSHINDWA NINI KINAFATA? NA JE WAMESHASHUHUDIA TUKIO LOLOTE LENYE MAFANIKIO BAADA YA KUACHA KILICHOSHINDIKANA? MAJIBU YATAKUKUMBUSHA KUWA IMANI INAWEZA KUENDELEZA PALE SAYANSI ILIPOISHIA.
 
Hayo maneno ya bikira 72 ni maneno ya uzushi,ila kuwepo wanawake twahara, bikira peponi hayo yapo kwenye Quran
Kwahiyo wewe humuamini mtume Muddy? Kumbe yale maneno yake ni ya kizushi? Sasa mbona masheikh wanaendelea kuyatumia kwenye mawaidha misikitini??
 
Back
Top Bottom