Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

Nabii GeoDavie: Biblia sio neno la Mungu bali ni maneno ya wanadamu

Anaamua kuipotosha BIBLIA baada ya uongo wake kufunuliwa. Kaona mbele atakimbiwa na waumini anaamua kwa makusudi kuwaua kiimani wafe kiroho. Hii ndiyo athari ya kukimbilia kwa mitume na manabii feki. Hao nyumbu wana bahati sana kusalimika hapo vinginevyo wakitiwa moto na kufukiwa kama kwa kibwetere na mackenzie. Hawa manabii feki ukiwashitukia janjajanja yao wakiona dili zao zinaenda kufeli huamua kuwakosesha washirika wao wafe kiroho
Yaani Wakristo mngekuwa na Ile akili tu ya kawaida, pasi na kwambia na huyo mtu. Mngeona madudu mengi sana kwenye Biblia.

Yeye hajapotosha bali ameongea ukweli ambao Wakristo hampendi kuusikia.

Ile tu Falsafa ya Utatu mtakatifu mngekuwa mnatumia akili walau kidogo tu, mngeona hapo hakuna neno la Mungu.

Lakini kadhalika, Yale maandiko ya kudai Yesu ni mwana wa Mungu au Mungu, nayo mngetumia tu akili ya kawaida mngejua ya kuwa hilo sio neno la Mungu.

Yaani Wakristo maisha yenu yote yamejaa USHIRIKINA na Kufuru.
 
Mngese yule mtu alichukua mke wa rafiki yangu aliyekuwa miongoni mwa walinzi wake.
Kenge sana.
Ila hili alilo kiongea ni kweli tupu. Shida yenu Wakristo dini yenu mmewaachia Makasisi, Wachungaji, Makubani, Maaskofu na mfano wa hao.
 
Ufundishaji wa wa Soctrates ulijikita zaidi katika uulizaji maswali ya udodosaji. Nauliza geodavie anatumia neno gani kuwaaminisha waumini wake kama anasema biblia si neno la Mungu? ina maana hatumii biblia! anatumia neno lake na waumini wake wanamuamini? Kama anatumia neno lake basi yeye kajikweza na kuwa mungu kwa waumini wake, hii ni hatari anaweza kuwaangamiza nyumbu hao
Hili swali rahisi sana unauliza. Sababu ameshawaona Wakristo ni WAJINGA, kwahiyo anachagua vifungu ambavyo mnapenda kuvisikia kisha anapita navyo.

Kwahiyo hata hao wanaotapelewa, matapeli si wanatumia maneno haya haya ya Kila siku na watu wanayo yajua na wanaamini kisha kadhia inaisha.
 
Tukiwaambiaga humu kila siku kwamba Biblia na Quran ni hekaya za kusadikika tu, huwa mnabisha sana.

Kijana achana na Qur'an Kila siku huwa nakutaka ulete ushahidi wa hilo unashindwa, na hutaweza mpaka unakufa.

Qur'an tu yenyewe ni muujiza tosha toka Mola muumba.
 
Yaani Wakristo mngekuwa na Ile akili tu ya kawaida, pasi na kwambia na huyo mtu. Mngeona madudu mengi sana kwenye Biblia.

Yeye hajapotosha bali ameongea ukweli ambao Wakristo hampendi kuusikia.

Ile tu Falsafa ya Utatu mtakatifu mngekuwa mnatumia akili walau kidogo tu, mngeona hapo hakuna neno la Mungu.

Kwa kuwa wewe ni muislam au mpagani huna hoja hapa. Zaidi we ni mpinga Kristo tu
 
Anaamua kuipotosha BIBLIA baada ya uongo wake kufunuliwa. Kaona mbele atakimbiwa na waumini anaamua kwa makusudi kuwaua kiimani wafe kiroho. Hii ndiyo athari ya kukimbilia kwa mitume na manabii feki. Hao nyumbu wana bahati sana kusalimika hapo vinginevyo wakitiwa moto na kufukiwa kama kwa kibwetere na mackenzie. Hawa manabii feki ukiwashitukia janjajanja yao wakiona dili zao zinaenda kufeli huamua kuwakosesha washirika wao wafe kiroho

Hoja ninayo,ili uone kama Nina hoja
Wewe uje ututhibitishie ilikuwaje Biblia ikawafikia nyinyi.

Pili, nani alipata habari Toka kwa Yesu Moja kwa Moja ?

Tatu, ni nani aliandika Injili ya Luka, Marko ? Je hao walikuona Yesu ?

Sasa usiandike tu kama mtu aliyepagawa na unashindwa kujibu hoja.
 
Hili swali rahisi sana unauliza. Sababu ameshawaona Wakristo ni WAJINGA, kwahiyo anachagua vifungu ambavyo mnapenda kuvisikia kisha anapita navyo.

Hata shetani hutumia maandiko, watumishi wake watashindwaje kutumia? Waumini hawafundishwi na hawajifunzi kusoma neno ili kuzijua hila za shetani. Kwa kifupi kama we si mkristo pita kimyakimya hii mada hutaweza kuchangia utajidhihirisha kuwa we ni ajenti wa shetani
 
Duh, Ujinga ni mama wa Dhambi.

Nani hajui bibilia ni muunganiko wa vitabu vilivyoandikwa kutoka maeneo mbali mbali vikaunganishwa pamoja?

Nani hajui mengine yalikuwa ni ya kusimuliwa, lakini historians and archeologist wame trace na wamekuta vipo kweli?

Nani hajui Rome ndio patron wa kuhifadhi kumbu kumbu zote za Biblia.

Nan hajui kwamba sio mambo yote yanapaswa kufundishwa mwanadamu?

Kwamba vitabu vyote vikusanywe watu wafundishwe kungekuwa na upotoshwaji mwingi sana..

Nani anabisha kwamba Biblia ni kwa ajili ya wanaotaka kuamini?

Kama huamini ni sawa na tutaendelea kukuombea.

Kwa wale wanaoamini jiepisheni na manabii wa Uwongo..

Si sawa kumsema vibaya mpakwa mafuta wa Mungu lakini kwa hili nadhani hajasema ukweli wote.

Kuamini ni uamuzi wako na ni juu ya Roho wa Mungu kukujalia neema hiyo.

Watu wanatoka jasho kabisa kupinga mambo yaliyo bayana.

Huyo Pasta anaongea lakini deep down anaelewa anachokisema na Nin neno la Mungu analotumia kuwakusanya watu hapo kwake..

Tujielimishe.., lakini kuamini ni juu ya mtu binafsi.
Lakini Mola hapendi watu WAJINGA na wavivu wa kufikiri.

Hakuna Imani hutanguliwa na elimu kwanza. Sasa unavyosema kuamini kuamini tu, hata uongo na ujinga haya ni matumizi mabaya ya AKILI tulizo pewa.
 
Hii mada inawahusu wakristo tu ndio wenye majibu sahihi, wengine piteni kimyakimya, msijioneshe ushetani wenu
 
Ufundishaji wa wa Soctrates ulijikita zaidi katika uulizaji maswali ya udodosaji. Nauliza geodavie anatumia neno gani kuwaaminisha waumini wake kama anasema biblia si neno la Mungu? ina maana hatumii biblia! anatumia neno lake na waumini wake wanamuamini? Kama anatumia neno lake basi yeye kajikweza na kuwa mungu kwa waumini wake, hii ni hatari anaweza kuwaangamiza nyumbu hao
Quote vizuri, acha kuleta uhuni na ujanja kwenye kureply, usiingize maneno kwenye ninachokiandika.

Sababu hakuna maneno ya asili ndio maana yanatumiwa kirahisi na watu waovu.

Huu ujinga huwezi kuukuta kwenye UISLAMU, sababu dini yetu Allah alishaahidi kuihifadhi.
 
Hii mada inawahusu wakristo tu ndio wenye majibu sahihi, wengine piteni kimyakimya, msijioneshe ushetani wenu

Wakristo hamna majibu sahihi, ndio maana sisi tunaopenda ukweli na kusoma tunawapa muongozo.

Wakristo sio wasomaji kabisa, yaani mpo mpo tu.
 
Kijana achana na Qur'an Kila siku huwa nakutaka ulete ushahidi wa hilo unashindwa, na hutaweza mpaka unakufa.

Qur'an tu yenyewe ni muujiza tosha toka Mola muumba.
we nawe ni mpuuzi tu, unashadidia biblia kushambuliwa vibaya, quran yako imetajwa povu linakutoka
 
Quote vizuri, acha kuleta uhuni na ujanja kwenye kureply, usiingize maneno kwenye ninachokiandika.

Sababu hakuna maneno ya asili ndio maana yanatumiwa kirahisi na watu waovu.

Huu ujinga huwezi kuukuta kwenye UISLAMU, sababu dini yetu Allah alishaahidi kuihifadhi.
hiyo haiwezi kuhalalisha quran kuwa ndiyo ni ya Mungu. ni abrakadabra tu mambo ya kusadikika ni wenye akili ndogo ndio wataamini upuuzi huo
 
tpaul sijapinga biblia ni maandiko matakatifu yaluokusanywa kuhusu ukweli wa Mungu na wanadamu walivyomtumikia nakumtumia katika maisha yao,ila ni matakatifu.
Jingine kaini na abeli Mungu aliwapa wake kama adam alivyopewa eva period
 
Kijana achana na Qur'an Kila siku huwa nakutaka ulete ushahidi wa hilo unashindwa, na hutaweza mpaka unakufa.

Qur'an tu yenyewe ni muujiza tosha toka Mola muumba.
Your opinions are not different from that of a jihadist suicide bomber.

Wewe huna tofauti na wale washambuliaji wa kujitoa mhanga wa Boko Haram, Al-Shabaab, Al-Qeida, Hamas au Taliban.
 
Ujinga ujinga tu waislam kujiingiza kwenye hoja isiyowahusu, tuacheni wakristo tumjibu huyu nabii feki anayesema biblia si neno la MUNGU atuambie neno la Mungu ni lipi, sio nyie waislam mpate loop na kusema neno la Mungu ni quran wakati inajulikana ni abrakadabra tu hakuna Mungu hapo
 
Ila hili alilo kiongea ni kweli tupu. Shida yenu Wakristo dini yenu mmewaachia Makasisi, Wachungaji, Makubani, Maaskofu na mfano wa hao.
fahamu kuwa kuna madhehebu mengi, kuna wanaofundishwa na kuna wanaojifunza wenyewe kujua ukweli wa mambo. Kwa mtazamo wenu nyie waislam mkristo hawezia kuacha kuamini biblia akaamini quran, huyo akili yake itakuwa haiko sawa. Kama biblia si neno la Mungu haifanyi quran kuwa ni neno la Mungu, huko ni kurukaruka utakanyaga kinyesi. Waislam piteni kimyakimya na quran yenu msitake kusema ni neno la Mungu kuliko biblia mtakuwa mnaleta mzaha
 
Back
Top Bottom