Hahahaha ni maneno ya watu ndio kwani uongo?Atheist wamepata hoja toka kwa nabii mkuu. Yule ni mpuuzi fulani anayejua kucheza na akili za nyumbu. Sasa akisema biblia ni maneno ya watu atuambie maneno ya Mungu ni yapi?
Ule upande mwingine Rais wa Burkina Faso kagomea kujengewa misikiti 200 badala yake kasema wajengewe shule, hospitali na vituo vya biashara.
Ufundishaji wa wa Soctrates ulijikita zaidi katika uulizaji maswali ya udodosaji. Nauliza geodavie anatumia neno gani kuwaaminisha waumini wake kama anasema biblia si neno la Mungu? ina maana hatumii biblia! anatumia neno lake na waumini wake wanamuamini? Kama anatumia neno lake basi yeye kajikweza na kuwa mungu kwa waumini wake, hii ni hatari anaweza kuwaangamiza nyumbu haoUkisona kwa utulivu falsafa za wagiriki... Socrates, Plato, Aristotle, n.k.... na ukiambiwa kwamba biblia ya kale ilikuwa katika maandishi ya kigiriki.... Huoni taabu kupinga kwamba Biblia ni neno la Mungu, ISIPOKUWA ni hekima ya binadamu
huko ndio kuna utopolo wa haja kubwa wala sina haja ya kujadili utopolo huo, afadhali amekataa kujengewa
Thibitisha huo upotoshajiMjadala ufungwe au uzi ufutwe kama kuna upotoshaji wa neno la Mungu
Uislam nao ulikopi tu kwenye biblia wakajazia na tamaduni zao kidogoRudi tu ubishane na mlokole mwenzio wewe. Hasira zako usiimalizie Dini Tukufu ya Uislam.
Ninachoelewa Mimi Ni kwamba akili uliyoumba ulimwengu Ni kubwa zaidi ya ile inayodaiwa kuficha na kubadili neno hivyo Ni rahisi kujua kwanini naamini hivi ninavyoamini leo.Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Nabii Mkuu na maarufu Afrika Mashariki na Kati, Nabii GeoDavie, kwa mara ya kwanza ameipinga biblia hadharani kama unavyoweza kumsikiliza kwenye video ifuatayo. Nabii Mkuu ametanabahisha hilo baada ya kukerwa na watu wanaomuandama kila kukicha kuwa hatumii maandiko yaliyomo kwenye biblia katika mahubiri yake. Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa mkuu.
View attachment 3279501
MAONI YANGU
Kwa muda mrefu nimekuwa siyaamini mahubiri ya Nabii GeoDavie lakini kwa hili la biblia ni kama vile namuelewa kwa mbaaali! Nasimama na Nabii kwani hata mimi kuna baadhi ya maandiko katika biblia yananipa shida kuamini kama kweli yaliandikwa na Mungu au ni maneno tu ya wanadamu.
Baadhi ya maandiko tata yaliyomo kwenye biblia na ambayo yanawashangaza wengi ni kuhusu kuumbwa kwa mwanadamu pale bustanini Eden na kisha mwanadamu akadanganywa na nyoka na kujikuta akiadhibiwa na Mungu. Adhabu ambazo mwanadamu aliadhibiwa na Mungu zinasimama hadi leo.
Kwanza, huyo nyoka aliyemdanganya Eva akala tunda la ujuzi wa mema na mabaya alitoka wapi mbona uumbaji wa nyoka haukutajwa kwenye hadithi ya uumbaji? Au kuna mpinzani wa Mungu aliyemuumba huyo nyoka ili kuharibu mipango ya Mungu?
Pili, Mungu alikuwa na malengo gani kumuumba mwanadamu mwenye akili pungufu ukilinganisha na akili za nyoka huku akijua kuwa nyoka angemdanganya kwa urahisi na kumlisha matunda kutoka mti uliokatazwa na Mungu?
Tatu, kwanini Mungu aliumba huo mti wa matunda huko Eden huku akijua kuwa matunda yale yangetumiwa na nyoka kumlisha mwanadamu aliyemuumba? Inawezekana Mungu alifanya makusudi ili mwanadamu ale matunda kisha amuadhibu adhabu ya milele?
Utata mwingine ni kuhusu kuoa kwa Cain na Abel. Adam na Hawa walifanikiwa kuzaa watoto wawili tu wa kiume, ambao ni Cain na Abel. Lakini ukisoma katika kitabu cha Mwanzo 4:17, imeandikwa kwamba Cain alimjua mke wake, na akapata mimba na kumzaa Enoch. Huu mstari unazua utata kuhusu ni wapi mke wa Cain alipatikana ikichukuliwa kuwa Adam na Eva walikuwa ndio viumbe pekee waliokuwepo duniani wakati huo. Hata jina la huyo mke wa Cain halijatajwa mahali popote pale kwenye biblia.
Kwa mifano hii ya utata (contradictions), na mingine mingi iliyojaa kwenye biblia, kuna uwezekano mkubwa kuwa biblia ni mradi wa wanadamu, hasa wazungu, iliyotungwa kwa manufaa yao binafsi, hasa maslahi ya kikoloni.
Nawasilisha.
bakini pembeni na uislam wenu wala msikomenti huu uzi kama hamtaki kuhusishwa acheni ushabiki wakati tunajua utopolo ulioko huko kwenu. Tulieni piteni kimyakimya, hii ngoma tuachieni sisi tunyukane na hao wanaosapoti uposhaji wa geodavieNaona unalazimisha kubalance . Uislam hauingii katika huu mjadala kabisa. Na hiyo stori yako umeihakikisha ukweli wake?
Uislam nao ulikopi tu kwenye biblia wakajazia na tamaduni zao kidogo
wanahistoria Gani waliotrace na wakasema Ni matukio Ya kweli??Duh, Ujinga ni mama wa Dhambi.
Nani hajui bibilia ni muunganiko wa vitabu vilivyoandikwa kutoka maeneo mbali mbali vikaunganishwa pamoja?
Nani hajui mengine yalikuwa ni ya kusimuliwa, lakini historians and archeologist wame trace na wamekuta vipo kweli?
kwanini Usiache Vitabu vyote Then Mtu ndo aamue Vipi vinapotosha na Vipo vinafundhisha kutumia akili yake mwenywe kama Sasa hivu ilivyo Dunia ina Kila aina ya Watu ila Uamuzi ni wetu kufuata taBia njema..Nani hajui Rome ndio patron wa kuhifadhi kumbu kumbu zote za Biblia.
Nan hajui kwamba sio mambo yote yanapaswa kufundishwa mwanadamu?
Kwamba vitabu vyote vikusanywe watu wafundishwe kungekuwa na upotoshwaji mwingi sana..
Wewe unaeujua thibitisha hapaBasi hauujui Uislam.
kama hajadanganya hao wafuasi wake anawafundisha Nini? msingi wa mafundidho yake ni nini? hiyo iliyofichwa inaendelea kufichwa Hadi Leo? huyo ni tapeli kama hao wanauza makanisa na misikiti.Kadanganya wapi?
Kaa kushotoNaona unalazimisha kubalance . Uislam hauingii katika huu mjadala kabisa. Na hiyo stori yako umeihakikisha ukweli wake?
Mnaandikq ujinga sana wakristo wanajua huyo si mchungaji ni.mganga wa kienyenyeji aliyejificha kwenye utumishi, masonic pastor kumsikiliza huyo ni sawa na kwenda kwa mganga kuaguaKatika hali isiyokuwa ya kawaida, Nabii Mkuu na maarufu Afrika Mashariki na Kati, Nabii GeoDavie, kwa mara ya kwanza ameipinga biblia hadharani kama unavyoweza kumsikiliza kwenye video ifuatayo. Nabii Mkuu ametanabahisha hilo baada ya kukerwa na watu wanaomuandama kila kukicha kuwa hatumii maandiko yaliyomo kwenye biblia katika mahubiri yake. Hebu msikilize wewe mwenyewe hapa mkuu.
View attachment 3279501
MAONI YANGU
Kwa muda mrefu nimekuwa siyaamini mahubiri ya Nabii GeoDavie lakini kwa hili la biblia ni kama vile namuelewa kwa mbaaali! Nasimama na Nabii kwani hata mimi kuna baadhi ya maandiko katika biblia yananipa shida kuamini kama kweli yaliandikwa na Mungu au ni maneno tu ya wanadamu.
Baadhi ya maandiko tata yaliyomo kwenye biblia na ambayo yanawashangaza wengi ni kuhusu kuumbwa kwa mwanadamu pale bustanini Eden na kisha mwanadamu akadanganywa na nyoka na kujikuta akiadhibiwa na Mungu. Adhabu ambazo mwanadamu aliadhibiwa na Mungu zinasimama hadi leo.
Kwanza, huyo nyoka aliyemdanganya Eva akala tunda la ujuzi wa mema na mabaya alitoka wapi mbona uumbaji wa nyoka haukutajwa kwenye hadithi ya uumbaji? Au kuna mpinzani wa Mungu aliyemuumba huyo nyoka ili kuharibu mipango ya Mungu?
Pili, Mungu alikuwa na malengo gani kumuumba mwanadamu mwenye akili pungufu ukilinganisha na akili za nyoka huku akijua kuwa nyoka angemdanganya kwa urahisi na kumlisha matunda kutoka mti uliokatazwa na Mungu?
Tatu, kwanini Mungu aliumba huo mti wa matunda huko Eden huku akijua kuwa matunda yale yangetumiwa na nyoka kumlisha mwanadamu aliyemuumba? Inawezekana Mungu alifanya makusudi ili mwanadamu ale matunda kisha amuadhibu adhabu ya milele?
Utata mwingine ni kuhusu kuoa kwa Cain na Abel. Adam na Hawa walifanikiwa kuzaa watoto wawili tu wa kiume, ambao ni Cain na Abel. Lakini ukisoma katika kitabu cha Mwanzo 4:17, imeandikwa kwamba Cain alimjua mke wake, na akapata mimba na kumzaa Enoch. Huu mstari unazua utata kuhusu ni wapi mke wa Cain alipatikana ikichukuliwa kuwa Adam na Eva walikuwa ndio viumbe pekee waliokuwepo duniani wakati huo. Hata jina la huyo mke wa Cain halijatajwa mahali popote pale kwenye biblia.
Kwa mifano hii ya utata (contradictions), na mingine mingi iliyojaa kwenye biblia, kuna uwezekano mkubwa kuwa biblia ni mradi wa wanadamu, hasa wazungu, iliyotungwa kwa manufaa yao binafsi, hasa maslahi ya kikoloni.
Nawasilisha.
Hata kama anaitumia hiyo hiyo biblia, haimaanishi kwamba kwavile anaitumia basi ndio kunaifanya iwe neno la mungu. Na kama sisi waumini ni wajinga kiasi cha kuamini kitu ambacho sio neno la mungu, hilo ni tatizo LETU sio LAKE.Ufundishaji wa wa Soctrates ulijikita zaidi katika uulizaji maswali ya udodosaji. Nauliza geodavie anatumia neno gani kuwaaminisha waumini wake kama anasema biblia si neno la Mungu? ina maana hatumii biblia! anatumia neno lake na waumini wake wanamuamini? Kama anatumia neno lake basi yeye kajikweza na kuwa mungu kwa waumini wake, hii ni hatari anaweza kuwaangamiza nyumbu hao