Nabii Josephat Mwingira anena Mazito kwenye Salamu za Heri ya Krismasi

Kuna ngedere watakuja hapa kumtetea mwendazake eti ameacha legasi mfyuuu?!
 
Hawa ndio aina ya wachungaji tunaowataka, sio unakuta mchungaji kazi yake kuhimiza michango, kupiga majungu kama anavyofanya Gwajima na kusifia serikali. kkkt na Rc mjitafakari. Kazi yenu sio kumsifia rais na serikali

Askofu Shoo ni KKKT. Askofu Niwemugizi ni RC. Sheikh Ponda ni Mwislam.



Hakuna dini ina bariki ushetani.

Mengine haya ni mapungufu binafsi.
 
Kuna ngedere watakuja hapa kumtetea mwendazake eti ameacha legasi mfyuuu?!

La msingi ni kuwa hata wao wanajua hawana hoja. Kuna mmoja nimemwona ana avatar ya kiroboto. Binafsi nimeona nimsome kwanza kumfahamu yu mtupu kiasi gani 😁😁.
 
Sina povu lolote lazima nayeye aambiwe kabla ya kuinyooshea serikali je nayeye angalau ni msafi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…