Nchi kuinusuru kuna njia nyingi mojawapo kuiba kuraKweli kabisa utawala wa ibilisi joka kuu ulikuwa umelaanika na wa kishetani kabisa. Ule wizi wa kura wa kishamba ambao haukuwahi kutokea katika sayari ya tatu 2020, ni dalili tosha shetani alikuwa ametamalaki.
Ndo mlivyo CCM siku zote mmethubutu kuiba,mkaweza na mnasonga mbele na wizi wenu wa kishamba wa kura. Huwezi kuzuia mijitu kuchukua nchi kws kutegemea kuiba kura,izuie kwa sera Safi na ilani Safi kwa kushawishi wapiga kura. Ila kwa vile nyie hayo mlishaona hayafai sikushangai kwa hayo mawazo yako chama kimekulea hivyo kuwa bila kuiba huwezi kuwa na njia nyingine ya kumzui mpinzani wakoNchi kuinusuru kuna njia nyingi mojawapo kuiba kura
Ukiona mijitu isiyoitakia mema nchi inaelekea kushinda.Kuiba kura ruksa
you nailed it...Giza halitoshinda nuru kamwe..hata humu JF kuna wanafiki wa kiwango cha kusikitisha...ole waoHivi je? Serikali hii:
1. haikukwiba kura?
2. haijabambikiza watu kesi?
3. haijapoteza watu?
4. haijadhulumu watu yakiwamo maisha yao?
5. haikuhusika na magenge ya wasiojulikana?
6. Nk. Msururu ni mrefu.
Kama majibu ni ndiyo basi kumbe aliyosema ni machache zaidi. Kama ndivyo basi lichumia tumbo ni wewe mjomba.
Nashirikiana nae mwingiraNenda na wewe kawaibie kama kuiba ni rahisi hivyo.!
AiseeMwingira mpiga sadaka tu za waumini! Hovyo kabisa
Bila tume ya maridhiano hali itakuwa tete, Samia, mpango na kasimu watoke hadharani waje waombe radhi , tushikane mikono tusonge mbele tuandike katiba mpya.
Ccm wakidharau hii kitu nchi itapasuka
Yaani huyu Nabii kanichosha kabisa. Hivi yeye alikuwa na ugomvi gani na serikali? Au kuna jambo anajihami kama ilivyokuwa kwa mh mbowe?? Ngoja tusubiri maana tangu enzi za JK
Ndo mlivyo CCM siku zote mmethubutu kuiba,mkaweza na mnasonga mbele na wizi wenu wa kishamba wa kura. Huwezi kuzuia mijitu kuchukua nchi kws kutegemea kuiba kura,izuie kwa sera Safi na ilani Safi kwa kushawishi wapiga kura. Ila kwa vile nyie hayo mlishaona hayafai sikushangai kwa hayo mawazo yako chama kimekulea hivyo kuwa bila kuiba huwezi kuwa na njia nyingine ya kumzui mpinzani wako
Viazi kweli nyie.
Wafanye huo uhuni wao ndio watajua hawajui.Mkuu usishangae ccm wakamwambia mwingira akalete cheti cha kuzaliwa cha babu wa babu wa babu wa babu yake ili kuthibitisha uraia wake
Mjibuni na Dr Shoo amewaeleza wazi wazi muache kutesa Watanzania.Wanajiita viongozi wa dini Tanzania sio wa Kikristo wala Uislam wote wanafiki,huwa nashangaa ikifika Ijumaa/Jmamosi/Jpili MTU anaongozwa na kiongozi wa namba hiyo.
Sio bora tu uache kusali au kuswali usubiri Mungu akuhukumu kwa kutokubali kuongozwa na kiongozi mnafiki.
“Mshindi ni Mshindi tu, Mungu yupo ndani yake, kati ya aliyepigwa risasi na aliyeiba kura nani yupo hai?” - Askofu Josephat MwingiraYeye mbona anawaibia waumini wake sadaka pale kanisani kwake mwenge? Na yeye pia wakala wa ibilisi tu
Mnamsikiliza mwingira muuza ngada?“Mshindi ni Mshindi tu, Mungu yupo ndani yake, kati ya aliyepigwa risasi na aliyeiba kura nani yupo hai?” - Askofu Josephat Mwingira
Tunawasikiliza nyie mliomuacha muuza ngada bila kumkamata na kumpeleka mahakamani.Mnamsikiliza mwingira muuza ngada?
Lord voldermort umenikumbusha Harry PotterAmepata kauli ya kuongea baada ya Lord Voldemort kutoweka.
Kweli kabisa utawala wa ibilisi joka kuu ulikuwa umelaanika na wa kishetani kabisa. Ule wizi wa kura wa kishamba ambao haukuwahi kutokea katika sayari ya tatu 2020, ni dalili tosha shetani alikuwa ametamalaki.
Ukweli tuna Bunge haramuKweli kabisa utawala wa ibilisi joka kuu ulikuwa umelaanika na wa kishetani kabisa. Ule wizi wa kura wa kishamba ambao haukuwahi kutokea katika sayari ya tatu 2020, ni dalili tosha shetani alikuwa ametamalaki.