Nabii kutoka Nigeria ashinda mkanda baada ya kumpiga shetani

Eti behind closed doors [emoji38] [emoji23] [emoji38] [emoji23]
 
Ukiristo sasa hivi umejidhalilisha sana...yaan ukiristo umegeuka mwanasesere
Ni jambo la uelewa wako kuchanganya Ukristo na hizo blaa blaa za mitume na manabii waganga njaa. Uzuri wa Dini hii ya Ukristo huwa haina shida maana Ngao zitajichuja zenyewe toka kwenye makapi....
 
Ukatoliki na wenyewe miyeyusho. Sabato ndio Wakristo pekee wasio na maskendo
Tunazungumzia imani. Maskendo ya individual person hayakwepeki kuwepo katika kundi kubwa kama lilivyo la Wakatoliki. Hawa Wasabato ambao hata kunywa soda ni dhambi? Hawa hawa walioandamana kuelekea airport kwenda Ulaya bila ticket, passport wala viza?
 
Kwa hiyo shetani kafa?au ameumizwa tu,tuendelee kujiandaa na pambano jingine??
Afrika ina wajinga wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…