Nabii Mwingira ni Ishara ya kukubalika kwa Rais Samia

Angewepo jpm yeye angemuua kabisa. Lile jamaa Bora mungu amelichukua fasta
 
Bwana Yesu kwenda kuazima mchezaji timu ya Mtume Mohammad unalizungumziaje suala hilo?
mzee usitoke nnje mada astakful allah, , mtajikuta maisha yenu hamfanikiwa kw amaneno kama hya, halafu useme maish magunu na kuilaumu serikali, kumbe laana umekufika wewe, wengine wqnakula bata, kwa hivyo kaa mbali
 
mzee usitoke nnje mada astakful allah, , mtajikuta maisha yenu hamfanikiwa kw amaneno kama hya, halafu useme maish magunu na kuilaumu serikali, kumbe laana umekufika wewe, wengine wqnakula bata, kwa hivyo kaa mbali
Kama bado hujaona doctrine of false philosophy kupitia hiyo comment yangu ndio basi tena, ukisema mafanikio unamanisha nini kwa mfano? North Korea ambao hawataki kumsikia Yesu wala Muhammad je kimaendeleo wanafanana na sisi Pundamilia? Ambao Huku wapo wa nyeusi huku wapo wa nyeupe hatujulikani rangi yetu halisi ni ipi. Continue with that fear of the unknown.
 
Soma kwanza niliyekuwa namjibu. Halafu ndipo uone hizo pumba unazoandika hapo kama ziinastahili hapa au ziende zizi la nguruwe
 
Kwani kusifiwa ni dhihaka? Mbona mimi nawasifia wanawake hadharani ni dhihaka hiyo?
Tafta hoja mkuu.
Unawasifia mbele ya waume zao? Mama Samia hakuja kuitangua taurati Bali kuitimiliza. Wacha anyooshe nchi kwa kutumia Katiba hiihii ya Nyerere inayonukia kitanganyikatanganyika. Mchimba kisima anaingia mwenyewe. Akina Ndugai walikuwa na muda na uwezo wa kutunga Katiba inayozuia wa Zanzibar kuwa marais Tanganyika na Zanzibar kwa wakati mmoja kama ilivyo tokea wakati huu, lakini hawakufanya hivyo, sasa naomba tutulie Rais afanye kazi yake kwa mujibu wa Katiba. Naomba RAIS amalize kero zote za Muungano kwa speed ya light kama vile JPM alivyotumia Katiba hii kumalizia Kuhamia dodoma, kujenga SGR, kujenga bwawa la umeme, kujenga meli,kujenga madaraja marefu, kununua ndege kwa wakati mmoja bila kujali watu wanasema nini. Ndugai alikuwa kimya wakati wote huu wakati watumishi hawakulipwa stahili zao kwa miaka 6 mfululizo. Unaweza kusema kuwa nyuma ya akina polepole wako akina spika pia
 
Ningekuwa Rais SSH rais wa JMT ningeunda tume ya maridhiano inaoyoongozwa na maji Warioba, Shehe Ponda, Askofu Rwaichi, Askofu Shoo, Askofu Bagonza, Mzee Lowassa, Mbatia, Mwalimu Mkuu wa watu, Balozi Costa Mahalu, Dr. Slaa, Mzee wa upako, Askofu Mwamakukula, Haji Duni. Ongeza majina mengine kwenye orodha hii.
 
Si alipwe alichosupply? Mbona kalipwa majuzi kwenye awamu hii. Hasara ni kuwa MWANAWE anarudia mwaka chuoni.
 
Si alipwe alichosupply? Mbona kalipwa majuzi kwenye awamu hii. Hasara ni kuwa MWANAWE anarudia mwaka chuoni.
Tunaambiwa elimu haina mwisho,lakini kwa hwa suppliers wanatumika sana kwenye wizi na watumishi
 
Lakini bado hatuelezwi ni kero zipi za muungano zimetatuliwa na jawabu lake ni nini tofauti na serikali tatu au kuwa na serikali moja.
Kwa aina ya muungano huu tulio nao hata miaka 100 ijayo kero haziwezi isha labda serikali moja ama tatu ndo kero zitaisha.
 
N
Soma kwanza niliyekuwa namjibu. Halafu ndipo uone hizo pumba unazoandika hapo kama ziinastahili hapa au ziende zizi la nguruwe
Nguruwe we mwenyewe ndo mlaji mkubwa. Acheni ujinga wa udini sisi tunatambulika kama wa TZ siyo kwa kabila wala dini zetu.
 
Dini na uchaMungu sio kipimo cha uadilifu, hata Wakoloni walikuwa wanasali makanisani lakini walikuwa wanapora mali zetu,wananyonga watu wetu na walikuwa hawasamehe 7 x 70 kama biblia inavyotuambia sisi tufanye, waliwnyonga tu. Kama wazungu wangekuwa wanasamehe 7 mara 70 hata Gadaff, Bin Laden na Saadam Husein wangekuwa Hai Leo. Dini hizi zinatupumbaza sisi, JPM alikuwa anasali na kumtanguliza mungu katika kila jambo lakini watu walikuwa wakipotea na kumiminiwa risasi kila siku. Hakuwa mvumilivu kwa chochote. Kutembea na kundi la watu wa dini kwenye mikutano ni kichaka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…