Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
View: https://youtu.be/gRFTQaTOCUg?si=7yOQzFaQ7gsU5Y8a
Rais wetu na mama yetu mpendwa, Dr. Samia Suluhu Hassan, kama Serikali yako ni sikivu na wewe mwenyewe ni msikivu, hebu sikiliza sauti hii ya mtume wa Mungu.
Kwa imani yako kama Mwislamu unaye mwabudu Allah, naomba utafakari ushauri huu wa Mtumishi wa Mungu. Serikali yako imekuwa ikiji nasibu kuongea na kuwasikiliza Watumishi wa Mungu wakiwemo Masheikh kwenye misikiti na Maaskofu makanisani wakihubiri Amani na Haki ndani ya Tanzania.
Wasikilize kuliepusha Taifa kuingia kwenye vurugu, chuki na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Mungu ibariki Tanzania.