macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Kama ni hivyo basi sehemu kama Somalia atakuwa amekosea sana?Yeye ndo mwanzilishi wa Serikali duniani, mifumo yote ya uongozi zimetoka kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni hivyo basi sehemu kama Somalia atakuwa amekosea sana?Yeye ndo mwanzilishi wa Serikali duniani, mifumo yote ya uongozi zimetoka kwake.
Ujumbe Kwa watu wote lazima uwe namna hiyo.Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.
HAELEWEKI ANAUMA ANAPULIZA
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudi kwenye historia,Kama ni hivyo basi sehemu kama Somalia atakuwa amekosea sana?
Sanga ni mmbea tu kama Prof. JanabiSalaam, Shalom.
Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.
Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama Cha MAPINDUZI CCM, haitakuwa Siri, itakuwa ni mtikisiko wa wazi ambao hata raia wa kawaida watajua.
Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.
Amesema pia, amepata ujumbe kuwapa Marais wote wa Africa kuwa Waaminifu Kwa Nchi zao na kuwatumikia wananchi Kwa HAKI, la sivyo, patakuwako maandamano katika Nchi nyingi Afrika ikiwa hawatakuwa Waaminifu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿
Karibuni.🙏
Source: POG family Tv.
Nabii wa mchongoUjumbe Kwa watu wote lazima uwe namna hiyo.
Soma Aya ya mwisho, amerudia tena kati.[emoji3][emoji3]
Nimeuliza huyo ''mungu'' anayeongolewa kwenye hii thread huko Somalia vipi? Kwa wapalestina vipi? Kwa nini awape tu CCM chance ya kutubu?Rudi kwenye historia,
Mazoea ya kumwaga Damu, Damu ,Damu ilomwagika haiwezi kuruhusu kukoma Kwa matendo hayo.
Ndomana CCM wameitwa kutubu, sababu sauti ya Damu na walioonewa Huwa unadai kiisasi.
Mmoja kadhurika Mbeya majuziUkimdhuru mjumbe baada ya kufikisha ujumbe yafaa nini?
Mwambieni aache bangi
Iko shida wenyewe kwa wenyewe waendelee tu sisi tunatizamaSalaam, Shalom.
Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki.
Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama Cha MAPINDUZI CCM, haitakuwa Siri, itakuwa ni mtikisiko wa wazi ambao hata raia wa kawaida watajua.
Amesema Mungu amemwambia awaase raia kukiombea Chama Cha MAPINDUZI CCM Kwakuwa mtikisiko wa chama tawala utaathiri pia Nchi Kwa ujumla, na ujumbe wa kukiombea CCM ni Ishara kuwa Mungu BADO anapenda CCM iendelee kuongoza Nchi na amesema kuwa, adui amepanga kutumia mgawanyiko huo kuivuruga Amani ya nchi.
Amesema pia, amepata ujumbe kuwapa Marais wote wa Africa kuwa Waaminifu Kwa Nchi zao na kuwatumikia wananchi Kwa HAKI, la sivyo, patakuwako maandamano katika Nchi nyingi Afrika ikiwa hawatakuwa Waaminifu.
Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA [emoji1241]
Karibuni.[emoji120]
Source: POG family Tv.
CCM itubu na kuombewa ili iweje? Wanaopaswa kuombewa ni chawa wote wanaokiwezesha na kushabikia kikundi cha mashetani, wala rushwa na mafisadi kubaki madarakani akiwemo huyo nabii wako anaefikiri bila CCM nchi haitakuwa na amani!!Wewe huoni haja ya CCM kutubu?
Au ukakasi umekuingia uliposikia CCM iombewe?
Janaba?Sanga ni mmbea tu kama Prof. Janabi
Ikiwa huamini manabii,
Rabbon nimeishi na asilimia 90 ya manabii wa ndani na nje ya nchi.. Cover unayoiona mbele ya madhabahu zao kwenye camera ni tofauti kabisa na kilichomo nyuma ya pazia zaoIkiwa huamini manabii,
Kwako wote ni WA mchongo.
Bt karama ya unabii Kwa waliookoka Kila Kanisa, lazima awepo mwenye karama ya unabii.