Ati nini? Njoo usome maneno yako tenaKuna mwingine aliota kuwa JPM ni raisi wa awamu moja,mwingine aliuambia umma kuwaJPM hatuko naye tena lakini naona yupo anadunda tu, acheni ramli chonganishi
Kuna mtu kavuta nini huko Zhenj?Nampa salute
Nenda kalale kijana ili uwahi shuleNakaaa humu wakurungwa[emoji157][emoji157]
Nimebaki na thread mbili tu za kuchunguliaππ hii na nyingne ya msiache tetesi kama raisi anaumwa
Ila watu wa hapo nairobi wanasema ni ukweliππ et kuna wanajeshu wa bongo wapo hapo wanaranda randa. Huenda tunataka kulipiza kuhusu mahindiπ€£π€£π€£π€£We kama mimiππππππ
Ila tetesi hizi na zenyewe sio za kuzipa kipaumbele sana!!ππππππππππππ
Seif hayupo leo Zanzibar una habari?MANABII WA TANZANIA NI VICHEKESHO:
1. NABII TITO
2.NABII COMMANDO MASHIMO
3.NABII MCHUNGAJI ASKOFU SHEIKH MH JOSEPHAT RASHID GWAJIMA
4.....
5....
6....
7....
ulichelewa wapi ?Hii kwangu ni mpya kabisa
Nilikuwa sehemu ambayo mtandao ni wa kuvizia, kama unavyojua TZ hatuna mtandao wa uhakikaulichelewa wapi ?