ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 16,307
- 31,727
AiseeYaani kwa taarifa yako tunafunga na tunapiga goti mpaka kieleweke. Jinsi Mussa alivyo pambana na Farao kuwatoa wana wa Israel ndivyo na sisi tunapambana huyu MTESI na MUUAJI roho yake itangulie. Hakuna mbaya mbele ya Mungu kumuombea Muuaji afe
Dah!Hebu Mungu ajalie lidedi .
Tanzania imekuwa nchi ya ajabu sana sijui kwa nini watu wanashabiki mabaya yawakute wenzao inasikitisha kwa kweli
Ubinadamu umetutoka kabisa
Stuxnet
We sio mtanzania huwezi muombea mtu kifo hivyo da tumefika pabaya sana
Namba 5 mkeka umetiki maana Bashiru kapewa nafasi ya Katibu mkuu kiongozi (KMK) akichukua nafasi ya marehemu kijazi.
Kwa mwenendo huu naona kati ya Rais, Makamu ama waziri Mkuu mmoja wao akitangulia mbele ya haki, swali linakuja nani atatangulia kati ya hao [emoji15][emoji15]
Oke kumbe, utabiri ni lazima yatimie sio, kuna nabii mmoja alishanitabiria mengi sana mwaka huu nasubiri malaika wa bwana wanipitie waniguse pia
Yaani kwa taarifa yako tunafunga na tunapiga goti mpaka kieleweke. Jinsi Mussa alivyo pambana na Farao kuwatoa wana wa Israel ndivyo na sisi tunapambana huyu MTESI na MUUAJI roho yake itangulie. Hakuna mbaya mbele ya Mungu kumuombea Muuaji afe
Haina namna, mtu asikudanganye kuwa eti kumuonbea mtu afe siyo vizuri. Tunasoma kwenye Biblia tunaona Daudi mfalme wa wana wa Israel alivyopigana na kuua maaduiDoh, mwana umepiga kwenye mshono
Kuwaombea maadui wafe ni jambo la zamani sanaHaina namna, mtu asikudanganye kuwa eti kumuonbea mtu afe siyo vizuri. Tunasoma kwenye Biblia tunaona Daudi mfalme wa wana wa Israel alivyopigana na kuua maadui
Tugawane majukumu, wewe mwombee apone na sisi kamati ya roho mbaya tuache tuendelee kupiga magoti ya kumdedishaKuwaombea maadui wafe ni jambo la zamani sana
Ni Chadema ndio wana hiyo shida sio watanzania woteSijui ni kwa nini waTanzania mnapenda habari mbaya mbaya!
Kuona vifo,kusifia nchi zingine na si yenu,kila jema kwenu baya,kila kiongozi ni mbaya lakini akistaafu anakua mzuri
WaTanzania wengi ni kama wana namna ya ukichaa