Nachukia sana masikini

Baada ya miezi 4 unakuja na thread ya kuchangiwa pesa sijui kuna ugonjwa unakusumbua, wakifukua kaburi unaumbuka, labda uje na ID nyingine. Usitukane maba kabla haujavuka mto. Si kila masikini ni mvivu, wengine ni mfumo umewafanya kuwa hivyo anachakalika sana ila bado pesa hazipati au anazipata lakininhazikidhi majukumu yake.
 
 
Shindwa hamna masikini nitaemuomba pesa yake hata siku Moja mpaka hii dunia inafungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…