π€£π€£π€£π€£π€£ navuta picha siku umesusiwa katoto sijui utakapeleka wapiHapana mama angu mkali sana tangu nipo mdogo nashuhudia dada angu akigombezwa na mama alibemenda mtoto mama akamwambia chukua mtoto wako maana wote hamna akili wewe na mumeo kipindi iko mm mdogo kwetu mm ndio wa mwisho alimpiga mpaka na stik anasema mm sio bibi kizee bibi kijana kila mtu abebe mzigo wake
Nitakaa naye tu nitatafuta dada wa kazi duh ila kumpeleka kwa mama ngumu kwanza likataza kuzaa watoto ovyo ovyo siku hiyo alikuwa mkali tukashangaa tu ana foka yaani gafla tu hakuna alie kosea hole wake mtu azae ovyo ovyo yaan ww kama mwanau ole wako uzae na wanawake tofauti sitokubali huo upumbavu baba yenu mpaka amakufa haja achaa mtoto nje wote mpo hapa na ninyi wanawake jifanyeni hamnazo mm sijazaa na wanaume tofaut ole wenu huyo kaenda kulala tukabaki tuna tazaman tu mmoja mmoja akaenda kulala tulienda likizo kusalimia imagenπ€£π€£π€£π€£π€£ navuta picha siku umesusiwa katoto sijui utakapeleka wapi
π€£π€£Ukisikia mama mwenye msimamo ndio huyo watoto wa nje kuna namna wanakuja kuathirika kisaikolojiaNitakaa naye tu nitatafuta dada wa kazi duh ila kumpeleka kwa mama ngumu kwanza likataza kuzaa watoto ovyo ovyo siku hiyo alikuwa mkali tukashangaa tu ana foka yaani gafla tu hakuna alie kosea hole wake mtu azae ovyo ovyo yaan ww kama mwanau ole wako uzae na wanawake tofauti sitokubali huo upumbavu baba yenu mpaka amakufa haja achaa mtoto nje wote mpo hapa na ninyi wanawake jifanyeni hamnazo mm sijazaa na wanaume tofaut ole wenu huyo kaenda kulala tukabaki tuna tazaman tu mmoja mmoja akaenda kulala tulienda likizo kusalimia imagen
Ukikaa nae mnacheka sana huwezi amini kwamba anafokaga anapiga haangalii umri na ukiangalia watoto wote akikasirika hakuna wakumtuliza kila mtu anaenda zakeπ€£π€£Ukisikia mama mwenye msimamo ndio huyo watoto wa nje kuna namna wanakuja kuathirika kisaikolojia
Hell
Huwa nachukizwa sana na tabia hii baadhi ya wazazi kupeleka watoto wao kwa wazazi wao yaani mama zao hii sio sawa kabisa wewe mama yako kakulea yeye mwenyewe hakukupeleka kwa mtu ili amsaidie kulea iweje wewe ushindwe kumlea mwanao?
Hii tabia mtu anajifanya yupo bise na kazi na mwanaume anakubali mtoto akalelewe na bibi yake huyo mtoto mtamjuaje mapungufu yake utamjuaje tabia zake? Mnajua madhara yake?
Mwisho wasiku mtoto ana mpenda sana bibi yake kuliko mama yake kwasababu ya kukosa attachment ya wazazi wake pindi wakiwa wadogo mtoto mlee mwenyewe ataka ni mtu wa safari mtoto anaelewa ukirudi anajua mama karudi au baba karudi na kaniletea zawadi mama yangu au baba yangu ananipenda
Lakini unatuma hela kwa mama yako hiyo hela ya sikukuu mtanunua chochote kitu kinachotea mtoto anakuwa anauliza ina maana mama yangu hanipendi kiasi hiki mpaka kunileta kwa bibi yangu means bibi ndio ananipenda sana maana bibi nikimuomba hela ninunue pipi ananipa mapenzi yote anapeleka kwa bibi na sio kwako
Pia mtoto akikua anaweza kuwa na tabia za ovyo unaaza kutukana watu huyu tabia katoa kwa baba yake au mama yake kumbe ni wewe ulishindwa kumshape mtoto awe kama vile mnavyotaka
Yangu ni hayo tu kwa leo
Tunausingizia umasikini mkuu, minaona kama mtu hawezi ama hana uwezo wa kumlea mtoto/watoto wake basi bora kuto kuzaa kabisa hadi pale mzazi atakapo kua tayari na amejiandaa na malezi.Umaskini ufanya mpaka umaskini wa malezi.
View attachment 3294917
Jiandae kulea kabla ya kuzaaKuna maisha yanasababisha hayo yote π
Hili hua nalipinga sana mkuu, kazi ya malezi sio ya manamke pekee.Wanawake sijui akili zao zilichukuliwa na nani
Huyu mdogo inaelekea mtata sana πView attachment 3294892
Hapo mama yao yuko Sinza anauza nyapu, watoto wako Kazuramimba kwa bibi yao.
Why akufukuze πNa-imagine mama yangu atakavyonitoa mbio nitakapompelekea mtoto
Kama yapi?Kuna maisha yanasababisha hayo yote π
KabisaTunausingizia umasikini mkuu, minaona kama mtu hawezi ama hana uwezo wa kumlea mtoto/watoto wake basi bora kuto kuzaa kabisa hadi pale mzazi atakapo kua tayari na amejiandaa na malezi.
Yaani sababu ya kumuachia mtoto iwe nini? Labda kama ni mgonjwa sijiwezi.Why akufukuze π
Sio swala la wanawake pekee ata wewe lina kuhusu ukiruhusu tu mtoto kwenda kwa bibi kosa kwakoWanawake sijui akili zao zilichukuliwa na nani
Pambana nao tuYaani sababu ya kumuachia mtoto iwe nini? Labda kama ni mgonjwa sijiwezi.
Sawa πJiandae kulea kabla ya kuzaa