GE2025 Nadhani hakukua na haja Mafwele kusema amekamata wanajeshi wanne kwa kuchana bango la Samia

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tar 29 aki pita uyu hali itakua mbaya zaidi
 
Anayedhani hii Nchi ni ya Vyama vingi ndiyo ajionee sasa mambo jinsi yalivyo

Mambo ya Chama Dola 🙌

CCM ipo madarakani kutokana na sapoti ya Jeshi la Polisi
 
Anayedhani hii Nchi ni ya Vyama vingi ndiyo ajionee sasa mambo jinsi yalivyo

Mambo ya Chama Dola 🙌

CCM ipo madarakani kutokana na sapoti ya Jeshi la Polisi

The way Jamaa anasema Chama Tawala 🤣, If u know u know
 
First thibgs first.

Hiyo audio imeihakikisha ni ya Mafwele kweli na si ya mchongo?
 
The way Jamaa anasema Chama Tawala 🤣, If u know u know
Mambo ya Vyama vingi yapo kwenye makaratasi kuwahadaa Wazungu tu ili tupate mikopo na misaada

Chaguzi kuanzia 2019,2020,2024 na hadi hii ya Mwaka huu zimeonesha dhahiri
 
 
Habari ya uongo hii ,kila siku mafwele kila siku yeye kila kosa yeye tu kila baya yeye, mwacheni aishi maisha yake aisee

USSR
Kama anasingiziwa mbona hajakanusha!?

Wewe unamsemea kama nani,au ndiye mwenyewe.
 
Hiyo 4 aliitamkaje?
 
Hakuna kosa hapo sijakutuma uje ubandike kwenye ukuta wangu acha kutumia mbavu utavunjika au utavunjwa
Unaulizi,a sheria????

Mna vichwa vimeoza kweli??

Watu wanaotekwa na kuuawa au kina Heche wako Mahabusu kwa sheria gani???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…