Wewe nae umechanganyikiwa zaidi.Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ku behave kama anavyo behave Lisu.
Kama kutafuta cheo ndiko huku, hafai kwa lolote.
Hakuna pungufu kubwa kama kukosa kaba ya Ulimi!
Hakuna kosa kubwa kama KUROPOKA.
Hakuna kosa kubwa kama kukosa shukrani
All these boil down to one cause: Kuna nati fulani kwenye ubongo imelegea. Inahitaji kukazwa.
Lisu is coming aggressive supreme of POWER
1,000Uzi wa ngapi huu mlamba miguu ya mwenyekiti
Sure, Jiwe alikuwa kichaa per se! Lisu is driving towards that destinationJiwe alikuwa ameshapata uchizi. Huyu anaelekea kuupata asipowahiwa matibabu.
Lissu ameshasahau hayaBila Mwamba saa hizi Lissu angekuwa shimo la Tewa !
Na kama huelewi nini maana ya shimo la tewa nenda ka google
Mwanzo nilikuwa nafikiri yupo sawa kuanzia siku anabadilisha gia na kuanza kulumbana na boss wake nikabadili mawazo.Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ku behave kama anavyo behave Lisu.
Kama kutafuta cheo ndiko huku, hafai kwa lolote.
Hakuna pungufu kubwa kama kukosa kaba ya Ulimi!
Hakuna kosa kubwa kama KUROPOKA.
Hakuna kosa kubwa kama kukosa shukrani
All these boil down to one cause: Kuna nati fulani kwenye ubongo imelegea. Inahitaji kukazwa.
Lisu is coming aggressive supreme of POWER
Mwenye akili mbovu ni Mbowe. Amekaa miaka 20 kwenye cheo cha umwenyekiti na hataki kutoka.Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ku behave kama anavyo behave Lisu.
Very strange jitu limesahau. Huyu ni kichaa. Hilo tu lingetosha kumfanya asishindane na Mbowe. Bila maamuzi binafsi ya Mbowe kuwa Lisu haendi Muhimbili, lingelikuwa sasa ni mifupaLissu ameshasahau haya
Please niwekee linkMwanzo nilikuwa nafikiri yupo sawa kuanzia siku anabadilisha gia na kuanza kulumbana na boss wake nikabadili mawazo.
Interview ya jana nimemsikiliza hadi saa nane usiku nikaona hamna kitu.
Kila post lazima awe analist facts? Mbona zinafahamika.With all do respect hakuna fact yoyote ume list hapa, umejaza mashahiri tupu
Au id imevamiwa nini?
Tatizo Wachagga wa vijijini kama wewe mnaamini Chadema ni Mali ya Mtei πππKwa mtu mwenye akili timamu hawezi ku behave kama anavyo behave Lisu.
Kama kutafuta cheo ndiko huku, hafai kwa lolote.
Hakuna pungufu kubwa kama kukosa kaba ya Ulimi!
Hakuna kosa kubwa kama KUROPOKA.
Hakuna kosa kubwa kama kukosa shukrani
All these boil down to one cause: Kuna nati fulani kwenye ubongo imelegea. Inahitaji kukazwa.
Lisu is coming aggressive supreme of POWER
Tafsiri yako anyway!Mwenye akili mbovu ni Mbowe. Amekaa miaka 20 kwenye cheo cha umwenyekiti na hataki kutoka.
Amefikia hatua Aya kitamka maneno ya majigambo kebei na nyodo kwamba:-
-amekipigania chama kwa fedha zake.
- siondoki, bado sijachoka, mtasubiri sana mpk nifikishe miaka 68.
Tafsiri yake anawaambia watanzania kuwa chama ni mali yake.
Nkurunziza wa Machame huyu.
Huyu Retired hata mimi kuna wakati nilidhani ana kitu kichwani lakini niliposoma huu ujumbe wake nimeamini kuwa Mh. Tundu Antiphas Lissu kwa hakika anawatesa wengi.Uzi wa ngapi huu mlamba miguu ya mwenyekiti
Mariaspaces sikurekodi lkn mitandaoni ipo, ni mihemko, jaziba na kukosoa wenzake utazan yeye ni perfect 100%Please niwekee link
Huyu jamaa alikuwa mwalimu pale Korogwe TTC akatimuliwa enzi za Vyeti Feki ndio Mbowe akampa utumishi pale Ufipa na sasa mikocheni HQSasa hivi Retired akiweka bandiko unashindwa kuelewa nini kimetokea....ni hili la kumpambania Mbowe tu....au kuna kitu kingine