Nadhani Lissu hayuko sawa sawa, ana tatizo

Kama matatizo ya akili yanapelekea awe msema kweli acha aendelee kuugua hayo maradhi.
 
Kama matatizo ya akili yanapelekea awe msema kweli acha aendelee kuugua hayo maradhi.
Kuwapakazia wenzake bila evidence, speculations...
Kwa umahiri alionao wa sheria, hutegemei mtu ku behave hivyo anavyo behave
 
Sisi chadema damu tunamtaka lissu, mbowe kaiibia sana chadema na anataka kuwa mwenyekiti wa maisha, Kwa hili hapana mbowe out!
 
lisu alishanunuliwa pamoja na msigwa.aliachwa makududi ili aje kuvuruga kwanza. uchaguzi wao ukiisha ataondoka rasmi hapo.
 
Na wewe ulipata mgao?
 
Kila binadamu ana madhaifu yake, sasa unaposema wanamjua Lisu kweli sijui unaamanisha nini. Mbowe ana haki ya kugombea, ila anataka kugombea ili kufanya nini ambacho hajafanya kwa hiyo miaka 20?
Km kukaa muda mrefu bila kufanya cha maana, basi ccccccm wasingekuwa wanatawala 🤣🤣🤣
 
Mara nyingi, ukiwaza au kuhisi mtu Fulani ambaye siyo wewe ana changamoto ya afya ya akili, mara nyingi wewe ndo unakuwa una hiyo changamoto...relax
Umepiga kwenye mshono kabisa. Haiwezekani mtu mwenye akili timamu uanzishi nyuzi zaidi ya 10 kila siku kumshambulia mtu yule yule na kwa hoja zile zile lazima kuna nyaya zimepiga shoti kwenye ubongo.
 
Uwezo wako wa kuchambua mambo ni mdogo sana
 
Ataivuruga CDM mpaka watu wote wakimbie.
 
Kwakuwa Umedhani, basi maada iishie hapo . Mambo ya kudhqni kwenye science ni qinq nyingine ya uchawi

Unatakiwa kutuletea evidence based
 
Hata kwenye familia ukiongea ukweli unaonekana dishi limeyumba hasa ukiwa mbangaizaji atasikilizwa mwenye biashara ndani na nje ya nchi😁😁😁
 
Kwakuwa Umedhani, basi maada iishie hapo . Mambo ya kudhqni kwenye science ni qinq nyingine ya uchawi

Unatakiwa kutuletea evidence based
Is this pure science? These issues are decided on the the balance of probability with irresistible inference.....ukiona Prof of mathematics anasema 1+1 ni 3 katika natural mathematics, basi ujue kuna tatizo kubwa. Lisu amefika hapo sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…