Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Udhihirisho wa Mungu unajionesha kwenye kanuni za kisayansi, mpangilio wa ulimwengu, utiifu wa majira nk nk, vipo vingi sana ukivitafakari lazima vikusadikishe.Asante kwa maoni mkuu ila nikiwaza kwa mapana kama ulivyonishauri ndio naona kabisa kuwa hakuna Mungu
Dah nyie watu nyieπππSijui wengine ila mimi wakati ndo naanza kusimama madhabahuni nilikua nakunywa kuondoa aibu.
Labda tumuulize mzee wa upako mzee wa bapaππ
Ndio maana nikasema wewe bado dunia inakutegemea sana kuchangia figoπππππ
Mwenzio chupa moja nagida siku mbili au tatu
.Siku nikimaliza chupa nzima nahisi nitazimaπ
Nimependa umeongea bila kunukuu biblia mkuu..Udhihirisho wa Mungu unajionesha kwenye kanuni za kisayansi, mpangilio wa ulimwengu, utiifu wa majira nk nk, vipo vingi sana ukivitafakari lazima vikusadikishe.
Kwa hiyo huwa unakomea kuwaza kuwa vitu vyote hivi kwa mpangilio wake uliopo vilijitokeza tu, basi!
Labda ninachoweza nami kukuunga mkono ni ukengeufu wa dini na madhehebu kama ni magenge ya Cartels fulani.
Mungu hana dini lakini yupo.
Hahahahaha...πππ
Wakihoji nasema nimetaka tu kueaonyesha muujizaππ.
Ila sijafikia hizo levo aisee
Hahahahaha nikumbushe nichangie kdgπππππ
Hatwari hadi koo limekauka.
Jioni lazima nipoze koo leo
Na ndio hapo.Dah nyie watu nyieπππ
Mi naamini Mungu yupo na divai nagonga mchana kweupeè
Duh dunia ngumu sana hiiNa ndio hapo.
Bora hata wewe ni vipombe vyako na "dhambi' nyingine za kawaida ila kuna wengine ni watumishi wakubwa kabisa ila wanafanya vitu viovu mnoo.
Hahahahaha..Dunia Hadaa ,Walimwengu Shujaa...Duh dunia ngumu sana hii
Asante kwa kuelezea upande wako.Uzi mzuri na uthubutu ndani yake. Mie nilishawahi kuishi km yatima tu na kwa ufupi ndugu wapo na wananifahamu ila siwataki tu. Ndugu wengi wa damu damu Wana mambo ya hovyo sana. Mie na maisha yangu na familia yangu. Tofauti yangu, naamini yupo Creator (Mungu) yani huyu yupo tu siku zote. Ila maswala ya Kanisani, kuniambia habari za miujiza, wahubiri nk SIJAWAHI WAELEWA NA SITOWAELEWA. Kanisani naenda kwa machale kwaajili ya watoto nk. Sema maisha ya kutokuwa na ndugu ni mazuri sana, nayapenda na sipendi kung'ang'ania mtu yeyote. Enewei hata ndoa ni scam tu, japokuwa nimo humo.