Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Udhihirisho wa Mungu unajionesha kwenye kanuni za kisayansi, mpangilio wa ulimwengu, utiifu wa majira nk nk, vipo vingi sana ukivitafakari lazima vikusadikishe.Asante kwa maoni mkuu ila nikiwaza kwa mapana kama ulivyonishauri ndio naona kabisa kuwa hakuna Mungu
Kwa hiyo huwa unakomea kuwaza kuwa vitu vyote hivi kwa mpangilio wake uliopo vilijitokeza tu, basi!
Labda ninachoweza nami kukuunga mkono ni ukengeufu wa dini na madhehebu kama ni magenge ya Cartels fulani.
Mungu hana dini lakini yupo.