Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Asante kwa maoni mkuu ila nikiwaza kwa mapana kama ulivyonishauri ndio naona kabisa kuwa hakuna Mungu
Udhihirisho wa Mungu unajionesha kwenye kanuni za kisayansi, mpangilio wa ulimwengu, utiifu wa majira nk nk, vipo vingi sana ukivitafakari lazima vikusadikishe.

Kwa hiyo huwa unakomea kuwaza kuwa vitu vyote hivi kwa mpangilio wake uliopo vilijitokeza tu, basi!

Labda ninachoweza nami kukuunga mkono ni ukengeufu wa dini na madhehebu kama ni magenge ya Cartels fulani.

Mungu hana dini lakini yupo.
 
Ha haaaa aloooooh!ina maana mnavyoimbaga vile worship kumbe mmekuwa mmeonja kitu kali?
Sijui wengine ila mimi wakati ndo naanza kusimama madhabahuni nilikua nakunywa kuondoa aibu.
Labda tumuulize mzee wa upako mzee wa bapa😁😄
 
Dah nyie watu nyie😁😁😁
Mi naamini Mungu yupo na divai nagonga mchana kweupeè
 
😁😁😁😁😁
Mwenzio chupa moja nagida siku mbili au tatu
.Siku nikimaliza chupa nzima nahisi nitazima😁
Ndio maana nikasema wewe bado dunia inakutegemea sana kuchangia figo
 
Udhihirisho wa Mungu unajionesha kwenye kanuni za kisayansi, mpangilio wa ulimwengu, utiifu wa majira nk nk, vipo vingi sana ukivitafakari lazima vikusadikishe.

Kwa hiyo huwa unakomea kuwaza kuwa vitu vyote hivi kwa mpangilio wake uliopo vilijitokeza tu, basi!

Labda ninachoweza nami kukuunga mkono ni ukengeufu wa dini na madhehebu kama ni magenge ya Cartels fulani.

Mungu hana dini lakini yupo.
Nimependa umeongea bila kunukuu biblia mkuu..

Naomba bila kunukuu biblia unieleweshe ni kwa nini kama Mungu ameweza kuumba hivyo vyote ulivyovitaja ameshindwa kuumba binadamu asiye na kasoro.?
 
Dah nyie watu nyie😁😁😁
Mi naamini Mungu yupo na divai nagonga mchana kweupeè
😄😁Unaweza kuta wote tuliokaa pale mbele tuna vitu vikali kwenye damu ila ndo hivyo kila mtu anakunywa kwa kujificha😁😁
 
Dah nyie watu nyie😁😁😁
Mi naamini Mungu yupo na divai nagonga mchana kweupeè
Na ndio hapo.
Bora hata wewe ni vipombe vyako na "dhambi' nyingine za kawaida ila kuna wengine ni watumishi wakubwa kabisa ila wanafanya vitu viovu mnoo.
 
Uzi mzuri na uthubutu ndani yake. Mie nilishawahi kuishi km yatima tu na kwa ufupi ndugu wapo na wananifahamu ila siwataki tu. Ndugu wengi wa damu damu Wana mambo ya hovyo sana. Mie na maisha yangu na familia yangu. Tofauti yangu, naamini yupo Creator (Mungu) yani huyu yupo tu siku zote. Ila maswala ya Kanisani, kuniambia habari za miujiza, wahubiri nk SIJAWAHI WAELEWA NA SITOWAELEWA. Kanisani naenda kwa machale kwaajili ya watoto nk. Sema maisha ya kutokuwa na ndugu ni mazuri sana, nayapenda na sipendi kung'ang'ania mtu yeyote. Enewei hata ndoa ni scam tu, japokuwa nimo humo.
 
Asante kwa kuelezea upande wako.
Nimepata faraja🙏
Kumbe kuna wenye ndugu na mko kama mimi tu na maisha yanaenda.

Ila kwenye sherehe na misiba ya familia/ukoo si unashirikiana nao mkuu?
 
Back
Top Bottom