Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Nyie pokeeni neno,kuweni waaninifu ktk sadaka na matoleo ila ukimchunguza sana nabii utajicheleweshea mibaraka yako๐Ÿ˜€
Kwakweli siku hizi nmekuwa makini sana kwenye kutoa sadaka
Watu wanakula hadi hela za zaka
 
Oooh binamu mtumishi!ulipotea sana karibu tena....vipi ulienda kupiga wapi gombo?
Mefurahi kukuona mtumishi๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Mbali ya kupotezwa na ugumu wa maisha nilienda kujificha miliman kuutafuta uwepo.
Jiandaen mwakani na mimi mtume Pridah nitafanya mkesha mkubwa wa
PANDA UVUNE.
 
Kuna mtu danga lake ni padri
Anakula sadaka balaa
Hatari.
Mi pia enzi nasoma kuna rafiko yangu dadake alikua kama kaolewa na padri.Kajengewa,wamezaa.Alikua na maisha mazuri
 
Mefurahi kukuona mtumishi๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Mbali ya kupotezwa na ugumu wa maisha nilienda kujificha miliman kuutafuta uwepo.
Jiandaen mwakani na mimi mtume Pridah nitafanya mkesha mkubwa wa
PANDA UVUNE.
Uwiii nyie watu mnataka mtupuluse hadi sh kumi!maana hii mikesha inapishana weekend tu,mara kawe,mara temboni,mara ubungo,mara mikocheni,mara mate mbele ya pili,hapo tunashukuru kwa lulenge kumehamia Lugumbashi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃHaya sie binamu zako ndio tutakuwa chawa we tupe tu Location ya tukio
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Nyie pokeeni neno,kuweni waaninifu ktk sadaka na matoleo ila ukimchunguza sana nabii utajicheleweshea mibaraka yako๐Ÿ˜€
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐ŸคฃEeeh kweli umeshuka mlimani Kikazi
 
Nimesoma story yako ni nzuri sana,vipi dada naweza kuwa sehem ya family yako?
 
Wewe Mwamposa wa kike sio wa kukosa vocha na sadaka za kujimaliza za waumini zimefurika madhabahuni ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Stock yako ipo ready ni wewe kusema lini ikufikie sis ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ