Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

Kaka mkubwa Kiranga njoo kuna mtu anakuchokoza 🤣🤣🤣

Kuhusiana na post ya Sakasaka Mao.

That was a combination of a priori fallacy with non sequitur fallacy.

1. Tunaona kanuni za kisayansi
2. Kanuni za kisayansi zimepangika vizuri.
3. Kw ahiyo, kanuni za kisayansi lazima zitakuwa zimepangwa na Mungu.

Hata kama 1 na 2 ni kweli (which is debatable), unafikaje kwenye conclusion ya 3 bila kuthibitisha kuwa Mungu yupo na yeye ndiye aliyeweka kanuni za sayansi?

Hapo utaona kuna a priori fallacy na non sequitur fallacy.

Tatizo ni, aliyeandika hayo mambo anajua hizo logical fallacies?

Mara nyingine naona kuwa ninaojibizana nao wana uwezo mdogo katika kuchambua mambo kimantiki mpaka inakera.

Yani mtu anafanya a priori fallacy na non sequitur fallacypengine bila kujua, au pengine bila kujua hata a priori na nonnsequitur fallacy ni nini, au pengine bila hata kujua logical fallacy ni nini, au oengine bila hata kujua logic ni nini.

Sasa mtu kama huyo unajadiliana naye vipi kimantiki?

Sakasaka Mao
 
Kasoro ni mahitaji ya maumbile na muumbaji.

Ukiwa hauna kasoro unaweza ukadumu daima dumu milele usife.

Kasoro ndizo huleta magonjwa na vifo, mifarakano, vita na mabalaa mengine ambayo humpelekea binadamu afikie tamati.

Na kifo ni mfumo rasmi wa kisayansi wewe unaujua.
Ndonikasema mfumo wa uumbaji umefuata kanuni zisizo sigana.

Tatizo letu binadamu tunamuwaza Mungu kwa mfano wa object flani, ama mtu ama nini sijui!

Sasa tukisha mvisha sura namna hiyo lazima tubishi.

Tukimuwaza Mungu bila kumvisha sura yoyote, tunaweza kupata utulivu.
Asante kwa kunielewesha ila sina uhakika kama nimekuelewa.

Sasa kama tunapewa kasoro ili kwanini isiwe kwa wote mkuu?
Kwanini wengine ni wazima wengine wanazaliwa na kasoro?

Na pia kama Mungu yupo na ana huruma si atuumbe tu bila matatizo tuishi kwa raha ikifika kufa tufe bila kuteseka?

Na kwanini tufe?
HAYUPO
 
Kasoro haiwezi kuwepo katika ulimwengu ulioumbwa na Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote. Full stop.

Ukiona kasoro yoyote, ujue huo ni uthibitisho kwamba huo ulimwengu haujaumbwa na Mungu huyo.
 
Kabisa.
Japo sina uwezo mkubwa kama wewe ila akili zangu chache zimetosha kung’amua hayo.Kuna vitu vingi tu ukijiuliza unaona kabisa huyo Mungu hayupo.
 
Back
Top Bottom