Nadhani mke wangu mshipa wa aibu ulishakatika

Sasa unataka akuogope ili iweje?
Mtu umeishi naye miaka pengine zaidi ya 10😀😀
 
Mkuu kwani yeye mwenyewe anasemaje..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mlishauriwa muoe rafiki zenu haya ndio madhara.

Wewe utaoaje classmate wako tena umri sawa?

TafutA mke umemzidi miaka 10-15 pia na kipato umemzidi mbali hapo atakuheshimu.
 
Wewe tu hujui mapenzi,na probably unatoka kanda ya Tarime,Mimi na mke wangu hua nafanya hivyo,niko kwenye sink napiga mswaki yeye anakua yuko nyuma yangu anafanya mama au viceversa
 
Huyo ndiye Mke usimuache
wewe kwanini hujjenga bado? jitahidi utenganishe Choo na Bafu km hutaki akufuate au ongeza choo kingine ili ukioga awe anajisaidia kwingine
Hapo ilitakiwa akimaliza kutawadha muungane muoge wote pamoja
subiri ukuigua uone ni nani atakunawisha hicho kijambio chako,
 
I like that [emoji1787]

It means she nothing to hide from u .

Just love u wife

Natamani nipate demu anayejamba mbele yangu[emoji1787]
 
Kaah!Yani kwa Mimi hapo angehalibu kwa asilimia kubwa psychology yangu,hata hamu ya kufanya nae tendo la ndoa ingeshuka au nikaacha kabisa,Staha Ni kitu Cha msingi Sana kwakweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya Ni mahaba kwa watu wenye mapenzi ya kweli mashine inainuka tu the maximum mpaka inauma Yani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3]
 
hahaha kha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…