Nadhani nilikosea kuoa binti niliemzidi sana umri

Mbona kama umri unaruhusu kubanjuka sana mkuu? Au huenda urge yako ya sex ipo chini kulinganisha na mwenzako?

Huwa nawaambia wenzangu, age gap iwe 2-5. Ukimzidi sana ke kuna vitu baadae utashindwa kumtimizia. Umri ambao mnaweza kuoana hata 20yrs diff ni above 35. Me aweza kiwa 55 na mke 35 na maisha yakawa poa tu, lakini 40 kwa 20 utapata shida sana.
 
Miaka 10 sio mingi hapo ndo mnaonekana mmeoana mkiwa rika moja.
 
Yaani miaka 32 unalalamika nguvu?

Hakuna namna mkuu lazima utombewe!

Tena umesema demu wako umemzidi miaka 10, maana yake ana miaka 22.

Hapo kutombewa ni "sure bet"
Maana miaka 22 nyege na utoto viko mahala pake.

Hapo kutombewa ni SURE BET 100%
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kiukweli unaweza usiwe na tatizo ila umeshaizoea sana kiasi haikupi hamu ya kuichakata

Mi pia nimeoa Mke nimepishana miaka 10 na Nina 33 now mwanzo Wa ndoa nilikuwa nampeleka puta ukichangia ndio nimemzindua

Kumbe namjengea usugu sasa saivi imekuwa balaa anamizuko kuliko Mimi na Mimi hamu imeshapungua sana nimemzoea hivyo sometime nafanya kumkwepa kwepa maana nikipiga kimoja sina hamu yakuendelea

So ilianza kureta tabu akijua nachepuka kumbe sichepuki na siwezi kumwambia sina hamu nae

Ila huwa na hakikisha katika week natenga siku naichakata mpaka aombe pooh
 
Pole sana mkuu changamoto sio umri wako,changamoto ww upo na shida kwenye maumbile yako, je unawai kufika safali au? Baada ya kimoja hauwezi tena??

Shemeji ni wa aina gani??

Jitahidi kimuandaa sana mkeo na kama ahana shida ktk homon ukimuandaa muda mrefu anafika kileleni kabla haujaanza kumtumia ukinza sasa ww ukishuka cha kwanza yeye anakuwa amekwenda cha pili, wai kulala fanya hivi saa 4 usiku pumzika ukiamka saa 11 asubui nenda kimoja chako safiiiiiiiiiii, jitahidi ufanye kila siku au baada ya siku mbili,
 
WATU TUNATAFUTA KUM@ KWA UDI NA UVUMBA. TENA JUANI KABISA UNAONA MDADA ANA STAHILI KUTOM.BWA , KWA AJILI YA KUFURAHIA UANAUME WETU WEWE UNASUSA KU.MA NA IPO NDANI YAKO YAKO KABISA DAHHH ASEEEEE MAISA HAYAENDANI ASEEEEEEE



NIPE NAMBA YAKE. NA MWAMBIE AJUE SIKU ZAKE TUUUU , ASEEEE ATAKUWA ANANIKIMBIA ......
 
Hapo kwenye mwanamke mpenda kimoja, aisee ni kweli.

Akipewa dakika 20 au 30 za cha kwanza, anatepeta na kulala usingizi wa pono.

Mwambie turudie, atakwambia nishatosheka na sihitaji tena. Hadi kesho jioni labda. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ndoa zina mengi.



Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Tatizo sio style wala sio nguvu mkuu, yani physical niko okey, ila mental/ psychologically ndio shida.

Ile idea kwamba nifanye romance muda mrefu mara nikate kiuno saa nzima yani naona kama adhabu kwa sasa. Na kadri siku zinavyozidi kwenda ndo napoteza interest zaidi, kwakweli sijui ten years ahead itakuaje kwenye hii ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…