Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Mkuu tatizo umeikutia discussion yangu njian, ungesoma huko juu mimi nimemwambia mleta uzi kwamba asijisikie vibaya maana sisi ambao tuna majukum huwa hatupend sex mara kwa mara maana tunachukulia kama ujinga tu na sio kipaumbele.Dar - Dodoma kwa basi ni 5hrs
Dar- Johannesburg RSA ni 4hrs
Robo ya siku ina masaa sita
Wewe kwa muda km huo unatafuta goli moja. ..
Pasi shaka huna jukumu lolote hapa duniani......siku utakapotoanza kuwa na majukumu na kujitegemea utabadilika..
Mfano mimi, sex kwangu sio kipaumbele na sifanyi mara kwa mara ingawa nikiamua kufanya naweza tumia hata 6hrs kumgeuza geuza tu mwanamke kias kwamba akimaliza hawez kuwa na nyege hata 2 weeks.
Mimi sio mpenda sex kiviiile..ila nikimfungia kaz mtu, kaz inakua kaz kwel.
NB:
Nina majukum ya kutosha. Am father of 4 kids, 10 yrs im marriage at this 34 yrs kwahio mimi si mtoto mdogo kama inavyonichukulia. My first born yuko form 1.. niwe na majukum yap zaid?