Elimu inahitajika Sana. Mtanzania ni kiumbe dhaifu Sana kufikiria mwenyewe. Sidhani Kama huo mradi ni hasara kwa taifa,ni siasa zetu za chuki na visasi ndizo zinaufanya mradi uonekane ni hasara.Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Kuna taarifa au habari iliwahi andikwa na kusemwa kuwa, waziri wa kwanza kupewa ulinzi mkali na raisi alikuwa JPM, pia awamu fulani, aliandika barua ya kujiuzulu, ikakataliwa na pia hakufukuzwa kazi.Kama unaamini kuna mchezo sasahivi, kwanini usiamini pengine mchezo ulichezwa wajati ule?
Yule bwana alikuwepo bungeni na serikalini kwa miaka 20 kabla, lkn sikumbuki kama nimeshawahi iona kura yake ya HAPANA kwenye miradi yote aliyokuwa anasema "nchi hii imechezewa sana".. To me he's no different from the rest!
Mito na mabwawa inakauka baada ya JPM kufariki. Ni swali gumu sana..Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?
View attachment 2012229
Na yeye alikuwa mis informed, umeme wa maji dunia ya leo sio wa kuutegemea .
Makamba ni fisadi kubwa sana. Limeqmza kujenga mazingiraWatahangaika sana hawa mafisadi, lakini wakichezea mradi huo hawatapona.
Sasa tusemeje, kwa vile mradi wa maji hautegemewi kuzalisha umeme kwa sababu ya mabadiliko ya hali ya hewa; mbona hatusikii jambo zito zaidi kuhusiana na hali hiyo, zito zaidi ya kuzalisha umeme ikisemwa?
Chakula mtatoa wapi kama hali itakuwa mbaya kiasi hicho. Kama hufikirii hilo kwanza kichwani, halafu unakimbilia umeme, watu wasielewe kwamba mtu huyo ana lake jambo?
Mto Rufiji ni mkusanyiko wa mito ya Kilombero,Luwegu na Ruaha mkuu.Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?
View attachment 2012229
Unaongea as if maji ya Mto Rufiji ni chemchem inayomwaga maji kutokea hapo hapo!usilinganishe ruvu na rufiji.Rufijini na issue nyingine..kama unabisha nenda pale rufiji daraja la mkapa harafu jizamishe uone kina cha maji yanayopita
Mkuuu mamba je nao vip watakuwa wamekwenda machunganiusilinganishe ruvu na rufiji.Rufijini na issue nyingine..kama unabisha nenda pale rufiji daraja la mkapa harafu jizamishe uone kina cha maji yanayopita
Wanahujumu mradi kwa faida ya nani, au ili iwe nini?Unalaumu mradi wa umeme wa maji?
Hujajifunza kitu wewe. Ingia hata google uone jinsu nchi nyingine zinazalisha umeme huo kwa bei Chee.
Shida iko kwa wahuju mradi na sio mradi wenyewe. Ngonjera kama zote..sarakazi kama zote
Unajua watanzania wengi tuna akili fupi sana; yaani tunaanza kuaminishwa kuwa mradi huo hautufai, kusudi tuuuwe tile tuendelee kupigwa kwenye umeme. Kumbuka kuwa mradi ulipata upinzani sana kwa waliodai mazingira (Wakati huo Makamba akiwa waziri) lakini Magufuli akausukuma. Sasa wanatafuta njia za ku-undo mradi huo bila hata kujali investment ambayo imeshafanika pamoja na long term benefits zake. Watanzania tulivyo bendera fuata upepo tumeanza kubadilisha ulekeo wa bendera.Wabongo mnapigwa kirahisi sana. Hivi Magufuli ajue kabisa kuwa mradi utakuwa wa hasara halafu atie mabilioni ya pesa kuufanya?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Something must be wrong somewhere else.... Kuna mchezo tunachezewa.
Uvivu wa kufikiri uliozidi kiwango cha SGR....Kuna watu huanzisha mada ili mradi kuonesha Magufuli hakufanya lolote, haya hongereni sana.
Huyu mpaka 2035,akikataa tutamlazimisha😊😊😊Sasa arudi kwao zanzibar kula ubuyu na urojo tunataka mtanganyika.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Ujinga ulioje.Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?
View attachment 2012229
Heading yako na content haviendaniMatrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP ?
View attachment 2012229
Yaani Kichuguu unatia aibu sana linapokuja suala la JPM....Unajua watanzania wengi tuna akili fupi sana; yaani tunaanza kuaminishwa kuwa mradi huo hautufai, kusudi tuuuwe tile tuendelee kupigwa kwenye umeme. Kumbuka kuwa mradi ulipata upinzani sana kwa waliodai mazingira (Wakati huo Makamba akiwa waziri) lakini Magufuli akausukuma. Sasa wanatafuta njia za ku-undo mradi huo bila hata kujali investment ambayo imeshafanika pamoja na long term benefits zake. Watanzania tulivyo bendera fuata upepo tumeanza kubadilisha ulekeo wa bendera.