We bhana unachosha...Nani kasema mradi wa gesi usiendelezwe?
Nioneshe nani kasema hivyo?
YOU HAVE A SERIOUS PROBLEM...Sasa nani kakwambia miradi mingine isifanyike?
Yani wewe hadi leo bado Magu anakuchapa tu?
Piga filimbi sana lakini huwezi kuwa na info kuliko mimi. Hii awamu ya tano ya mshikizo (ambayo imejiita awamu ya sita kimakosa) imejaa wapigaji, watu wanaodhani Tanzania itajengwa na mataifa ya nje. Mawazo kama haya ni mfu na lazima tujapinge kwa nguvu zote. Mimi nilimpinga sana sana Magufuli lakini kuna machache aliyokuwa sahihi. Hili bwawa ni mojawapo. Sasa hivi kuna kila dalili zinazoonyesha kuna watu hawaridhiki na huu mradi na wanatatoa negative comments. Tatizo la umeme wa Tanzania litamalizwa kwa combination ya solution mbali mbali. Tushughulikie moja baada ya nyingine. Kwa sasa tuweke nguvu kwenye bwawa na likianza uzalishaji ndiyo twende kwenye vyanzo vingine.Hivi ni wapi nyie watu paliposemwa Mradi wa Bwawa la Nyerere haufai?
Hivi ni wapi nyie watu ilipotangazwa kwamba Mradi wa Nyerere unasitishwa?
Yaani watu leo wasikague hata vyanzo vya maji eti kisa Mradi wa Bwawa la Nyerere?
Yaani leo hii kisifanyike kitu chochote nchi hii related na umeme... oh, wanaaka kuhujumu Bwawa la Nyerere!
Kuendelea kwa Mradi wa LNG, napo oh, "wanataka kuonesha mradi wa Bwawa la Nyerere haufai"
Mbona mna mawazo ya ovyo sana nyie watu?
Jibu ulichoulizwa wewe...Umepata pa kutolea povu wala hujataka kutumia akili yako kutaka kujua nilichoandika.
Wewe huna tofauti na Zitto hata kidogo. Ni watu mliojaa ubinafsi na kudhani mawazo yenu ndiyo bora kuliko ya wengine. Au mapacha?YOU HAVE A SERIOUS PROBLEM...
Hujijui tu!!!
Yale yale... yaani akitajwa Magufuli tu, lazima unune
What a pitty!!!
Acha kujifaragua, jibu haya maswali niliyokuuliz ππππππPiga filimbi sana lakini huwezi kuwa na info kuliko mimi. Hii awamu ya tano ya mshikizo (ambayo imejiita awamu ya sita kimakosa) imejaa wapigaji, watu wanaodhani Tanzania itajengwa na mataifa ya nje. Mawazo kama haya ni mfu na lazima tujapinge kwa nguvu zote. Mimi nilimpinga sana sana Magufuli lakini kuna machache aliyokuwa sahihi. Hili bwawa ni mojawapo. Sasa hivi kuna kila dalili zinazoonyesha kuna watu hawaridhiki na huu mradi na wanatatoa negative comments. Tatizo la umeme wa Tanzania litamalizwa kwa combination ya solution mbali mbali. Tushughulikie moja baada ya nyingine. Kwa sasa tuweke nguvu kwenye bwawa na likianza uzalishaji ndiyo twende kwenye vyanzo vingine.
Kama issue ni upigaji, kwani huko kwenye Mradi wa Bwawa la Nyerere watu watashindwa kupiga!!Hivi ni wapi nyie watu paliposemwa Mradi wa Bwawa la Nyerere haufai?
Hivi ni wapi nyie watu ilipotangazwa kwamba Mradi wa Nyerere unasitishwa?
Yaani watu leo wasikague hata vyanzo vya maji eti kisa Mradi wa Bwawa la Nyerere?
Yaani leo hii kisifanyike kitu chochote nchi hii related na umeme... oh, wanaaka kuhujumu Bwawa la Nyerere!
Kuendelea kwa Mradi wa LNG, napo oh, "wanataka kuonesha mradi wa Bwawa la Nyerere haufai"
Mbona mna mawazo ya ovyo sana nyie watu?
Wewe ndio una tatizo!YOU HAVE A SERIOUS PROBLEM...
Hujijui tu!!!
Yale yale... yaani akitajwa Magufuli tu, lazima unune
What a pitty!!!
Kama ningekuwa naona mawazo yangu ndo bora zaidi, basi nisingekuuliza ili utoe hayo mawazo yako!!Wewe huna tofauti na Zitto hata kidogo. Ni watu mliojaa ubinafsi na kudhani mawazo yenu ndiyo bora kuliko ya wengine. Au mapacha?
Wewe ndio msukule!We bhana unachosha...
Tafuta threads za misukule wenzako uone wanavyotoa povu!!
Na mambo mengine unatakiwa kutumia tu common sense...
Ikiwa hapa wanafikia kutoa povu hata suala la PM kuagiza kukaguliwa kwa vyanzo vya maji vya Mto Ruvu na kudai eti hilo agizo linalenga kuonesha Mradi wa Bwawa wa Nyerere haufai, sasa nini kinakushangaza ukisikia Misukule wenzako wanatoa povu na kudai eti lengo la LNG ni kutaka kuonesha Mradi wa Bwawa la Nyerere haufai?
Acha kuonesha tabia zako za ulikolelewa kwa kuita watu misukule wewe!Umewasome Misukule wenzako wanavyotoka povu baada ya kusikia majuzi kulikuwa na taarifa za mkataba wa Trillion 70?!
Au umekurupuka toka ulikokuwa unafugwa bila kujua mijadala inayoendelea?!
Yani umekuwa wa hasara baada ya Magufuli kufariki au sio matr#ako sana wewe kiaziMatrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP?
View attachment 2012229
Kasome vizuri kuhusu bwawa kaborabasa.. au umetunwa mzee??[emoji23][emoji23][emoji23]Na yeye alikuwa mis informed, umeme wa maji dunia ya leo sio wa kuutegemea .
Wewe sio sexless Bali headless sababu hata unachoongea hujuiMatrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP?
View attachment 2012229
Umesoma nilichoandika au unajitoa ufahamu kama Zitto? Nimesema mradi uendelezwe bila malalamiko kama ulivyoanzishwa kwa sababu anachofanya Makamba sasa hivi ni kutoa visababu kila kukicha. Na... ndiyo. Info ziko. Wapigaji kina Makamba wako tayari kuingia mikataba ya kifisadi.Acha kujifaragua, jibu haya maswali niliyokuuliz ππππππ
Kama issue ni upigaji, kwani huko kwenye Mradi wa Bwawa la Nyerere watu watashindwa kupiga!!
Jibu hayo maswali badala ya kujifaragua "una ma-info kibao"! Kwahiyo tumia hiyo info pool uliyonayo kuijibu nilichokuuliza!!
Nimejibu ila wewe hutaki kuona kuwa hawa mabwana zako kina Makamba ni watu wa deal. Tunajua yaliyo nyuma ya pazia. Makambo na Zitto lao moja.Kama ningekuwa naona mawazo yangu ndo bora zaidi, basi nisingekuuliza ili utoe hayo mawazo yako!!
Unfortunately, umeshindwa kujibu !!
Thank you!!
That is no proof for nothing. While it is true that such changes will affect powerr production, still many countries including developed ones depend on hydro powqer production. They are all moving away from nuclear and diesel/oil (dirty) power production tp clean energy which is hydro, wind, solar.Matrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.
Wenye dunia (wazungu) walionya kwamba ktk dunia ya leo inayokabiliwa na tatizo la "mabadiliko ya tabia nchi" umeme wa maji si wa kutegemewa tena. Tukawabishia. Kiko wapi Sasa?!
Kwa haya anayo yaongea PM kuna uzalishaji wa umeme utafanyika JNHPP?
View attachment 2012229
Sijaelewa katu swali lako!Vipi kuhusu miradi ya umwagiliaji na kuhifadhi maji kwa ajili ya kusambaza Dar in case of water shortages....
Wewe utakuwa ndokina MakambaMatrilioni ya fedha tunayamwaga kujenga JNHPP lkn uhakika wa kuzalisha umeme hakuna.