Nadhani The Velvet Lounge na Sudan Hotel Temeke, ni mifano hai ya Sodoma na Gomora!

Huyo mwanamke unaemuona mzuri wa kukaza na wenzio wanamkaza vile vile japo wewe hujui.

Hata uende kula moven pick, sio kwamba utatengewa chakula kwenye vyombo vipya vilivyotoka kiwandani la haha, bali utawekewa kwenye vyombo vilivyotumika vikaoshwa
Mwili wa binadamu ni hekalu la Roho Mtakatifu, huwezi fananisha na thamani ya vyombo vya chakula. Uwe na adabu. Sawa ?
 
Kote huko ulikua unaenda kufanya nini? 😥
 
Huu uzi hatareeee 😥
Watu mna mambo ya ajabu sana..!!
 
Wewe ulijuaje? 😹
Yaani short shory, sikuonja wala kujaribu…

Of course nilikuwa naingizwa mtegoni na nilishtuka…

So nilikuwa nalipa pesa kila tukio, ipo hivi wakija kutaka ushiriki ngono nao na ukakataa kuna kiasi unalipa hapo hapo ndio sheria za humo ndani!

Na icho kiasi kita expire baada ya mda fulani so watakufata tena si wanajua utalipa pesa, kama hauna Pesa au hautak kulipa na ni sheria za umo ndani unatolewa nje

Nilikuwa nikilipa pesa kila nikifatwa.. na ni kiwanja kigeni kwangu rafiki zangu walinialika wanione jinsi gani sina akili na niliwaonyesha kitu tofaut walivyofikiria..

Umenielewa? Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…