Nadhani Tundu Lissu anaweza kuwa peke yake, Tuombe Mungu aingilie kati

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,530
Reaction score
3,422
Binafsi sina shaka sana na Mnyika , lakini kila nikiangalia ma boss na marafiki wa zamani wa viongozi/wajumbe wa sasa na waliopita CHADEMA nakosa imani sana .

Kuna kila dalili ya undercovers kuwa wengi sana , ingawa natambua watu wanaweza badilika pia , lakini pia natambua kuwa au kuwa na historia ya kuwa na boss au marafiki kutoka CCM au vyama vingine sio shida pia .

Tumuombee sana mwenyekiti huku tukichukua tafadhari ya mvua kubwa za Eli Nino.

Muwe na siku njema .​
 
Yeyote anayesimamia HAKI hajawahi kuwa peke yake!

Zaburi 14
5 Hapo ndipo walipoingiwa na hofu nyingi, Maana Mungu yupo pamoja na kizazi cha haki.

Zaburi 34
19 Mateso ya mwenye haki ni mengi, Lakini Bwana humponya nayo yote.
 
Back
Top Bottom