Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,047
- 16,378
Lema amenisikitisha sana.
AiseeCCM kumejaa mataahira kabisa from top to bottom
Wehu ni baba yako na mama yako senge wewechadema kumejaa wehu
Punguza hasira ,umepaniki kama heche hahahaaaWehu ni baba yako na mama yako senge wewe
Naam na yanayotokea sasa ,hayatokei kwa bahati mbaya mamluki wote wataanikwa juani na kukaukaShamba lote litasafishwa. Ni suala tu la muda. Hakuna sababu ya kuwa na hofu.
Mamluki wataanikwa na kutoka nani atabaki Chamani ? Vijana wengi wanakaa mbali na siasa sasa hiviNaam na yanayotokea sasa ,hayatokei kwa bahati mbaya mamluki wote wataanikwa juani na kukauka
Tetemeko lake ni kuu. Kumwaga damu isiokuwa na hatia ni hatari sana. Angalia hii ya Otoba 29 inavyowatia kiweweLissu ni asset wa nchi hii bila kujali wanamnyonga au wanamuacha huru, wakimnyonga watakuwa wamemwagilia mbolea kwenye shamba la ukombozi.