Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,530
- 3,422
Tate Mkulu, Tate.Shamba lote litasafishwa. Ni suala tu la muda. Hakuna sababu ya kuwa na hofu.
Uliwapima? Kisheria huwezi kumwita mtu mwehu kabla hujampimachadema kumejaa wehu
HakikaLissu ni asset wa nchi hii bila kujali wanamnyonga au wanamuacha huru, wakimnyonga watakuwa wamemwagilia mbolea kwenye shamba la ukombozi.
Uliwapima? Kisheria huwezi kumwita mtu mwehu kabla hujampi
Kisheria huwa tunampima mtu kwa majibu yake kubla kipimo cha scienceUliwapima? Kisheria huwezi kumwita mtu mwehu kabla hujampima
Na iwe hivyo Mkuu tateShamba lote litasafishwa. Ni suala tu la muda. Hakuna sababu ya kuwa na hofu.
CCM kumejaa mataahira kabisa from top to bottomchadema kumejaa wehu
Hapo sasani wehu wa nani?Nimewapima sana.. Mtu yupo ulaya anakwambia kaandamane jeshi watakulinda nawe unatoka kweli huo sio wehu sasa
Yeyote anayesimamia HAKI hajawahi kuwa peke yake!Binafsi sina shaka sana na Mnyika , lakini kila nikiangalia ma boss na marafiki wa zamani wa viongozi/wajumbe wa sasa na waliopita CHADEMA nakosa imani sana .
Kuna kila dalili ya undercovers kuwa wengi sana , ingawa natambua watu wanaweza badilika pia , lakini pia natambua kuwa au kuwa na historia ya kuwa na boss au marafiki kutoka CCM au vyama vingine sio shida pia .
Tumuombee sana mwenyekiti huku tukichukua tafadhari ya mvua kubwa za Eli Nino.
Muwe na siku njema .
Uko sahihiYeyote anayesimamia HAKI hajawahi kuwa peke yake!
Zaburi 14
5 Hapo ndipo walipoingiwa na hofu nyingi, Maana Mungu yupo pamoja na kizazi cha haki.
Zaburi 34
19 Mateso ya mwenye haki ni mengi, Lakini Bwana humponya nayo yote.