Naenda Kanisani lakini naenda kwa Shekhe kuloga ili mambo yangu yaende sawa

Nimesoma comments nyingi wengi wao,wameongea kwa kukurupuka,kwenda kwa sheikh sio kitu kibaya nioneshe kwenye kitabu chochote natuma laki 3 hapa...,sheikh sio mganga,wala mchawi

Mbona hamleti povu la kwa mwamposa
Ikiwa mmesema amtegemeae mtu sijui nini na nini? Nyoko Nyoko amelaaniwa.
 
Huyu hategemei mwanAdamu anategemea uchawii tuuu

Ni saw aendae hospital. Mawawa mkuu hakun bay
Hayo ndio maarfa uliyoyafut ili usingamie
Huo uchawi anaenda kuifanyia kwa nani unaposema hamtegemei mwanadamu? Sia ameandika hapo anaenda kwa Shekhe
 
Havichangamani, amua moja, kama kweli una imani ya Kristo, huyo huyo Yesu ana uwezo wa kukulinda dhidi ya hicho kinakulazimu ufuate masheikh.
 

Wakristo na Waislamu hatuabudu Mungu moja, tuache kudanganyana, ukiamua kule nenda huko wala usikae njiapanda.
 
 

Inaitwa shiriki, mbaya sana hiyo, huna sababu ya kwenda kanisani
 
.
Inaonekana huna imani na MUNGU unayeenda kumwomba kanisani... It's okay, hatujui kuna shida gani ameshindwa kukusaidia.
.
Kwanini usihamie kwa sheikh moja kwa moja?! Usiwaonee aibu wanadamu watasema je, toroka uende tu.
 
"Amelaaniwa amtegemeayae mwanadamu"

Haijalishi itachukua miaka mingapi ila unachokifanya Sasa kina implications zake, Utapata matokeo Yako unayoyatafuta.
Wabongo tunatishana sana..hizi kauli zimefanya wengi wasifikie ndoto zao kwa vitisho kama hivi.

Sawa sawa na kumwambia tu asifanye jambo eti atakufa..kwani kuna mtu amekuja kulinda dunia.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Na wa upande huo wanakwenda kwa mwamposa kurekebisha .

Ni mwendo wa kupokezana tu.
Kwamba na waislamu nao wanakimbilia kwa mwamposa..hizi dini hizi zimekuja kuchangana mambo asee.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…