Naenda Kanisani lakini naenda kwa Shekhe kuloga ili mambo yangu yaende sawa

Kwahiyo unavyomtegemea boss wako ambaye ni binadamu kama wewe umeshalaaniwa..??
 
Acha uendelee kuwa mtumwa wake,akihitaji kula kuku anachomoa waya tu anajua utarudi tu na ukifika anaconnect tena.....anakuvizia tena baada ya miezi kadhaa akiwa hana hela...... utakuwa mtumwa miaka nenda rudi
Mwache aangamie maana hana maarifa[emoji116]

HOSEA 4:6.
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa; kwa kuwa wewe umeyakataa maarifa, mimi nami nitakukataa wewe, usiwe kuhani kwangu mimi; kwa kuwa umeisahau sheria ya Mungu wako, mimi nami nitawasahau watoto wako.

Kashaingia kwenye maagano(mikataba) na shetani na kamwe hatakaa afanikiwe maishani.

Yani mganga wa kienyeji akitamani tu kuku wa kienyeji na pesa atakuwa anabonyeza tu kitufe cha jini mikosi limvae, itabidi aende kwa mganga wa kienyeji akachanjwe machale, kupewa mihirizi na kunyweshwa midawa ya kuzimu...[emoji847]
 
Mkuu kaweke vitu sawa,hao wanaokupinga hpa ni hatari,sana wengi wao wanashirki ngono ya kinyume na sehemu halali,pia nn wazinifu...bora ww mwenye nia ya kutaka kupiga hatua na ulishe familia yako kila la kheri.
Huo ndio ukweli
 

Hivi imani ya kristo ni ipi?
 
Ndugu yangu mpaka mapadre wanaendaga kuongeza materials kwa paleee vatcani kwa papa😃😃😃
 
Sijui kwanini hawakuelewi hawa jamaa [emoji23][emoji23]
Jamaa hawamuelewi , kimsingi mafungu yote ya biblia anayajua Ila ameamua kustep aside kimtindo , waajiriwa na watu wa mishahara hawawezi kuelewa intensity ya jamaa , ila wanaharakati wa mtaa exactly wanaelewa ni kivipi mwamba anatokota 😁😁😁 haya mambo acha kabisa
 
"Amelaaniwa amtegemeayae mwanadamu"

Haijalishi itachukua miaka mingapi ila unachokifanya Sasa kina implications zake, Utapata matokeo Yako unayoyatafuta.
wanaohudumu huko makanisani nao ni binadamu tu kama huyosheikh au mganga yoyote wa kienyeji.
 
Mkuu huwezi kufanikiwa bila kujihusisha huko! So big up kwa kujitambua mapema!

Ila usimsahau Sana Mungu!
Yani kufanikiwa kwa uwezo wa Mungu kupo Ila unahitajika effort.

HAKUNA mtu ambae anapenda mafanikio yako!
Kuna mtaalamu katoka mwanza anaenda Oman mwezi ujao Ni hatari Sana..

Pia anauza majini ya kutafuta na kukutengenezea Bahati kwa gharama mdogo tu.

Changamka pambana kwenye ushirikina kujiimalisha mwenyewe na sio kumuumiza mtu.

Mtu akikuroga uvunjike mguuu wewe vunja kiuno

Maisha Ni kutafuta sio kutafutana
 
Wewe unakwenda kuroga kwa wachawi, usitaje Masheikh. Wanaoroga ni wachawi. Na uchawi katika Uislam ni haramu.
 
Kuna mwingine huku mitaa ya kwetu..yeye anauza nyumba toka mwaka huu mwenzi wa tano..nyumba ipo eneo zuri tena mitaa ya vizito...... Toka atangaze mauzo wateja wameenda wengi tena wazito lakini bado hawajaafikiana.... Bei inacheza kwenye m 800 mpaka 700

Sasa kawaamishia waganga kwake eti nyumba imefungwa!!! Sasa mganga ana uwezo wa kumvuta mteja wa kufikia dau la m 800 kweli au? Naye mwenye nyumba anasema kama mtoa mada...akisha weka mambo sawa atarudi kanisani!!!
 
Aise Yani Kuna Dawa hata akisema anauza hiyo nyumba 5B Kama mtu anayo anajikuta kapata tamaa na hamu ya kununua hiyo pesa
Kwa Tabora tunaita KIPANDE.
Hata muuzaji anaweza kuuza kitu kwa pesa ndogo hata aftatu
 
Hii ndo kwa namna gani!!
Mungu Hawai Wala hakawii...! Ukiamini katika Mungu Basi unatakiwa kuwa na sifa mbili.
Uvumulivu
Subira

Yani ili kuona God miracle unahitaji time frame....!! Na juhudi kubwa.

Ila Kama unataka overnight success Basi shetani ndio Habari ya mjini.... So usiwe mtu wa ushirikina Sana Yani kuwa mshirikina kwenye Mambo ya nyota na kipato....! Usimdhuru mtu
 
Aise Yani Kuna Dawa hata akisema anauza hiyo nyumba 5B Kama mtu anayo anajikuta kapata tamaa na hamu ya kununua hiyo pesa
Kwa Tabora tunaita KIPANDE.
Hata muuzaji anaweza kuuza kitu kwa pesa ndogo hata aftatu
Kwahiyo kumbe inawezekana!!! Haya ngoja tuone
 
Acha tu nichelewe nibaki kwa Mungu... Mungu hana mashart...nitalala nitaamka kwa amani...nitaomba muda wote ajibu asijibu sawa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…