Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 375
- 638
Hello habari wadau, mimi ni kijana umri wangu miaka 35 mkazi wa huku jijini mwanza. Katika maisha yangu ya ujana niliwahi kutembea na mwanamke mmoja hivi baadae tukaachana. Baada ya miaka kadhaa tuliwahi kuwasiliana nae ila akagusia kwamba nilimuacha na mimba. Ambayo mimi hakuniambia.
Sasa mtoto amekuwa na anadai sana sana ni wangu na yupo kwenye ndoa yake, na ninaamini huyo mume wake anajua huyo mtoto ni wake.
Akili yangu inanita kwenda kudai damu yangu, je ni changamoto zipi nijiandae nazo