Opobo Jaja
Senior Member
- Aug 16, 2025
- 184
- 254
Mwache mamake atamyambia akufuate akikuaNipe hints mkuu, damu isipotee hivi hivi
Mwache mamake atamyambia akufuate akikuaNipe hints mkuu, damu isipotee hivi hivi
haikufanyi kua baba lakiniHello habari wadau, mimi ni kijana umri wangu miaka 35 mkazi wa huku jijini mwanza. Katika maisha yangu ya ujana niliwahi kutembea na mwanamke mmoja hivi baadae tukaachana. Baada ya miaka kadhaa tuliwahi kuwasiliana nae ila akagusia kwamba nilimuacha na mimba. Ambayo mimi hakuniambia.
Sasa mtoto amekuwa na anadai sana sana ni wangu na yupo kwenye ndoa yake, na ninaamini huyo mume wake anajua huyo mtoto ni wake.
Akili yangu inanita kwenda kudai damu yangu, je ni changamoto zipi nijiandae nazo
🤣🤣🤣🤣Wala huna haja ya kutuambia; labda kama hauna nauli, Mimi ndo ningekuwa mume wa huyo Dada ningefurahi sana na kukukabidhi mke na mtoto!
Nenda katafute matatizo na mtoto hutampata. Kwanza dhana ya uhalali wa ndoa kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya 1971 huyo mtoto ni wa ndoa halali mpaka uthibitishe vinginevyo, sheria ya ushahidi ya Tanzania (TEA)inakataa ushahidi wowote kwa mtu aliyezini na mke wa mtu kudai umiliki wa mtoto. Naishia hapoHello habari wadau, mimi ni kijana umri wangu miaka 35 mkazi wa huku jijini mwanza. Katika maisha yangu ya ujana niliwahi kutembea na mwanamke mmoja hivi baadae tukaachana. Baada ya miaka kadhaa tuliwahi kuwasiliana nae ila akagusia kwamba nilimuacha na mimba. Ambayo mimi hakuniambia.
Sasa mtoto amekuwa na anadai sana sana ni wangu na yupo kwenye ndoa yake, na ninaamini huyo mume wake anajua huyo mtoto ni wake.
Akili yangu inanita kwenda kudai damu yangu, je ni changamoto zipi nijiandae nazo
Je kama mimba ilitanguliaNenda katafute matatizo na mtoto hutampata. Kwanza dhana ya uhalali wa ndoa kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya 1971 huyo mtoto ni wa ndoa halali mpaka uthibitishe vinginevyo, sheria ya ushahidi ya Tanzania (TEA)inakataa ushahidi wowote kwa mtu aliyezini na mke wa mtu kudai umiliki wa mtoto. Naishia hapo
Mpe ushauri usimtisheUnatafuta Kifo kwa nguvu sana. Polee wee.
Ushauri wangu ndo huo. 😂😂😂😂Mpe ushauri usimtishe
😂😂😂😂 sijuiAkhera ndio wapi?
HaswaaaaAtafute Padre/Sheikh Atakayemuombea Wakati Anazikwa
HapanaSema tu ukweli kuwa ulipoambiwa kuhusu mimba ukachanja mbuga, sasa ndio nafsi inakusuta.
Kila la kheri kwa lolote litalotokea.
Mbona mnanitisha sasaKwenye hiyo scenario yako kuna misiba miwili naiona ila sjui ni msiba wa nani na nani.