Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 375
- 638
- Thread starter
- #61
Kwann nipakwe mafuta wakati naenda kudai damu yanguUkipakwa mafuta pia uje utoe ushuhuda
Kwann nipakwe mafuta wakati naenda kudai damu yanguUkipakwa mafuta pia uje utoe ushuhuda
Si aongee na mama mtoto kwanza amskize anasemaje anakuripukaje kwenda kwenye ndoa zawatu?????
Na mimi nadai... hahahaSi aongee na mama mtoto kwanza amskize anasemaje anakuripukaje kwenda kwenye ndoa zawatu?????
Na mimi nadai... hahaha
Mkuu yaan niache damu yangu iende hivi hivi
Si aongee na mama mtoto kwanza amskize anasemaje anakuripukaje kwenda kwenye ndoa zawatu?????
Njoo tukulawiti bosi hadi nawe upate Mimba.Hello habari wadau, mimi ni kijana umri wangu miaka 35 mkazi wa huku jijini mwanza. Katika maisha yangu ya ujana niliwahi kutembea na mwanamke mmoja hivi baadae tukaachana. Baada ya miaka kadhaa tuliwahi kuwasiliana nae ila akagusia kwamba nilimuacha na mimba. Ambayo mimi hakuniambia.
Sasa mtoto amekuwa na anadai sana sana ni wangu na yupo kwenye ndoa yake, na ninaamini huyo mume wake anajua huyo mtoto ni wake.
Akili yangu inanita kwenda kudai damu yangu, je ni changamoto zipi nijiandae nazo
Mbona unahofu mkuu au ww pia unawasowasi sio chalii wakoNjoo tukulawiti bosi hadi nawe upate Mimba.
Pumbavu.